ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Kwani ikigawiwa kwa mtu mwingine wanapata nini?Unatakiwa ukatoe ripoti ya unachokipitia ambacho kinasababisha ushindwe kununua vocha. Hawana namna ya kujua kuwa umepatwa na janga. Watakutofautishaje na yule aliyeamua kuitupa line na kuiondoa kwenye NIDA yake kisa madeni? Kuna wanaokwenda nje ya nchi ambako hakuna ROAMING. Usisahau nao wanalipia hizo frequency wanazotumia na huku wewe mtumiaji huingizi chochote kwao.