Bora Elon aje atuondolee huo wizi ,yaani 1GB inaisha kwa kustream online radio 4hrs????
Mtu unatumia madakika kadhaa kufungua page moja tu.Bora Elon aje atuondolee huo wizi ,yaani 1GB inaisha kwa kustream online radio 4hrs????
Hao ni matapeli waliochangamka tu.Niko mpakani huku natumia Safaricom ,hawana huu ujinga, Safari Com hawezi fanya uhuni kwa Wakenya watakinukisha dakika sifuri. Tanzania tatizo wanaona raia ni mazeta, ndio maana wanafanya watakavyo
Ila inahuzunisha sana mwaka huu wa 2024 internet bado anazingua bongo na ni ghali na huduma mbovuVoda umekuwa mtandao wa kijinga sana kwa sasa, hapa toka mchana hakuna kazi nimefanya!
Sio poa, muda huu ndo nimeivizia hapa angalau iko stable!Ila inahuzunisha sana mwaka huu wa 2024 internet bado anazingua bongo na ni ghali na huduma mbovu
Ni kweli kabisaHuduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.
Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika.
Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa.
Hivi wahusika mnajielewa kweli??
Kwanini mnachukua pesa zetu halafu mnatoa huduma mbovu.
Acheni wizi kwa watanzania, mnachukua pesa bila kutoa huduma za kueleweka.
Voda voda haifai tenaVoda umekuwa mtandao wa kijinga sana kwa sasa, hapa toka mchana hakuna kazi nimefanya!
Mbona mimi natumia laini ya M2M ya halotel inakuwa ya internet tu. Wala aisumbui maana imeboreshwa.Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.
Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika.
Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa.
Hivi wahusika mnajielewa kweli??
Kwanini mnachukua pesa zetu halafu mnatoa huduma mbovu.
Acheni wizi kwa watanzania, mnachukua pesa bila kutoa huduma za kueleweka.
Zinatumika kwenye simu pia. Any device inayotumia lainiM2M -Machine 2 Machine - Hizo Special kuwekwa kwenye GPS Tracking System.
Zinatumika kwenye simu pia. Any device inayotumia laini
Ndio kaka. GB 18 Kwa 15k, GB 38 kwa 30k Mwezi mzima alafu bando lake linakaa saanaAisee kumbe mna faidi tuu aisee
Naungana nawe kati hilo. Mitandao yetu, mjini kabisa kwanza ni poor network. Mpaka uongee vizuri lazima utoke nje kwenye ya majengo.Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.
Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika.
Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa.
Hivi wahusika mnajielewa kweli??
Kwanini mnachukua pesa zetu halafu mnatoa huduma mbovu.
Acheni wizi kwa watanzania, mnachukua pesa bila kutoa huduma za kueleweka.
Strategy ni ile ile tu, Bait and Kill. Hapo mnajazwa kwenye nyavu na kuvuliwa kama samaki.Ndio kaka. GB 18 Kwa 15k, GB 38 kwa 30k Mwezi mzima alafu bando lake linakaa saana