Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

Mi kimachonikela ni uongo wao mara wakwambie 4G wengne 5G af ukicheki speed ni edge
Yan wanakua waongo waongo utazani awajui sku izi watanzania wanatembea dunian so wanaone na wanaelewa nn maana ya 4/5G
 
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.

Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika.

Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa.

Hivi wahusika mnajielewa kweli??

Kwanini mnachukua pesa zetu halafu mnatoa huduma mbovu.

Acheni wizi kwa watanzania, mnachukua pesa bila kutoa huduma za kueleweka.
Nape yupo kimya tu.
 
Mie kwa sasa ninapokuwa nyumbani natumia WiFi ya halotel. Tigo hamna kitu unajiunga GB zako za week mpk muda unaisha hujazutumia Internet ya mawazo.
 
Mie kwa sasa ninapokuwa nyumbani natumia WiFi ya halotel. Tigo hamna kitu unajiunga GB zako za week mpk muda unaisha hujazutumia Internet ya mawazo.
Mimi ni mwendo wa bundle la unlimited na Vodacom kwa siku 30 na inakamata 5G
 
Wanayumba sana siku hizi inawezekana yamezidiwa na wingi wa watumiaji.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji26]kumbe nanjinji nikajua simu yangu imeanza kua mbovu[emoji26].
 
Reginald Mengi alituonya kuhusu Papa Watano. Sasa tunaona wenyewe.
Siwaelewi kabisa hawa Tigo.
 
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.

Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika.

Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa.

Hivi wahusika mnajielewa kweli??

Kwanini mnachukua pesa zetu halafu mnatoa huduma mbovu.

Acheni wizi kwa watanzania, mnachukua pesa bila kutoa huduma za kueleweka.
Tangu nape awe waziri, internate imekuwa a ghali sana, usikute ni mrija wake wa kutuibia
 
Wakuu mimi nina kama siku 5 hivi kupiga simu ishakuwa kipengele kwangu, najiuliza ni simu yangu mbovu au voda ndio wamekengeuka. Maana laini zingine zinatwanga tu
 
Back
Top Bottom