dimple
Senior Member
- Dec 6, 2016
- 103
- 134
Hii kwani ina unlimited package ya data?Jiunge Halotel M2M, imeboreshwa zaidi maana ime specialise kwenye internet tu. Speed inakuwa bora zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kwani ina unlimited package ya data?Jiunge Halotel M2M, imeboreshwa zaidi maana ime specialise kwenye internet tu. Speed inakuwa bora zaidi.
Rasmi kabisa. Unakuwa na laini iyo ya M2M then unajiunga mwenyewe. Ni rasmi kabisaNi rasmi (official)? ama 'connection'?
-Kaveli-
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.
Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika.
Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa.
Hivi wahusika mnajielewa kweli??
Kwanini mnachukua pesa zetu halafu mnatoa huduma mbovu.
Acheni wizi kwa watanzania, mnachukua pesa bila kutoa huduma za kueleweka.
Karibu halotel 🤕
Kuna yepi mazuri huko HALOTEL? Tupe uzoefu wako.
-Kaveli-
Hakuna mtandao wenye nafuu bongoKaribu halotel [emoji856]
Sure mkuu hii halotel nayo kuna muda inazinguaHakuna mtandao wenye nafuu bongo
Kiukweli Wazingua sana lo
Ipo unlimited ni 50kWadau wanasema hizo laini za M2M hazina UNLIMITED DATA PACKAGE. Zina bando la kupimiwa.
-Kaveli-
Ipo unlimited ni 50kWadau wanasema hizo laini za M2M hazina UNLIMITED DATA PACKAGE. Zina bando la kupimiwa.
-Kaveli-
Ipo unlimited ni 50k
Ndio kaka. GB 18 Kwa 15k, GB 38 kwa 30k Mwezi mzima alafu bando lake linakaa saana
Strategy ni ile ile tu, Bait and Kill. Hapo mnajazwa kwenye nyavu na kuvuliwa kama samaki.
Halotel used to be so good when they started but eventually lost the touch.
Halotel Ni Jini nyonya damu Asee Nimetumia Mitandao Yote Lakini Halotel Ni Balaa Nishaweka Vocha Nikafungua Data Mb zikaisha
Jambo la kwanza laini zinakuwa na 4G au 5G ivo kinachokuwa na MBPS ni kifaa unachotumia na Mode uliyoweka.Mbps ngapi? Speed yake hawaibinyi baada ya matumizi fulani?
Ni laini tu eeh? (Pasipo router)
Mkuu, ni vyema ungetoa details/sifa zote za hiyo M2M ya TSH 50K.
Funguka zaidi wateja waelewe.
-Kaveli-
Nadhan Voda ameamua kuwapa priority watu wa unlimited packages ambao wanawauzia internet kutegemeana na speed,Voda voda haifai tena
Hujajibu swali!!Jambo la kwanza laini zinakuwa na 4G au 5G ivo kinachokuwa na MBPS ni kifaa unachotumia na Mode uliyoweka.
Pia hii ni laini ila inakuwa ni kwaajili ya internet ivo aina SmS wala Calls. Unaweza kutumia kwenye router, pocket wi-fi au simu pamoja na vifaa vingine
Imeongezwa speed ivo ina higher speed and strength kuliko laini ya kawaida, pia bando zake aliishi kwa haraka kutokana na data depression level iliyowekwa.
Ilo bando la 50k ni per month, linakuwa lina high speed na unatumia vizuri mwezi mzima.
Blaza hujajibu swali acha maelezo mengi ni mbps ngap kwa hio 50k maana najua kifurushi cha unlimited kipo ila sijawah jarb naona 50k 24GB hzo gb za m2m halotel zikiisha unapewa mbps ngai?Jambo la kwanza laini zinakuwa na 4G au 5G ivo kinachokuwa na MBPS ni kifaa unachotumia na Mode uliyoweka...