RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,189
- 1,690
Nape yupo kimya tu.Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.
Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika.
Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa.
Hivi wahusika mnajielewa kweli??
Kwanini mnachukua pesa zetu halafu mnatoa huduma mbovu.
Acheni wizi kwa watanzania, mnachukua pesa bila kutoa huduma za kueleweka.
KumbeJamaa yako kashaharibiwa kazi.
Sasa hivi ukipiga menu ya halopesa kidha ukachagua namba 3 basi unakutana na vifurushi vya M2M unaunga mwenyewe
Mimi ni mwendo wa bundle la unlimited na Vodacom kwa siku 30 na inakamata 5GMie kwa sasa ninapokuwa nyumbani natumia WiFi ya halotel. Tigo hamna kitu unajiunga GB zako za week mpk muda unaisha hujazutumia Internet ya mawazo.
Kwenye WiFi Voda bado ipo vizuriMimi ni mwendo wa bundle la unlimited na Vodacom kwa siku 30 na inakamata 5G
Ila ndio inabidi uwe na laini ya M2M iyoJamaa yako kashaharibiwa kazi.
Sasa hivi ukipiga menu ya halopesa kidha ukachagua namba 3 basi unakutana na vifurushi vya M2M unaunga mwenyewe
Ila ndio inabidi uwe na laini ya M2M iyoJamaa yako kashaharibiwa kazi.
Sasa hivi ukipiga menu ya halopesa kidha ukachagua namba 3 basi unakutana na vifurushi vya M2M unaunga mwenyewe
Unajiunga mwenyewe ndio. Chamsingi uwe na iyo laini ya M2M maaana iyadai M2M number.
Mi nina amini bundle lina kaa sana sema tuu haya makampuni mengine wamefanya kitu ndiyo maana bundle hazikai.Ndio kaka. GB 18 Kwa 15k, GB 38 kwa 30k Mwezi mzima alafu bando lake linakaa saana
Mi nina amini bundle lina kaa sana sema tuu haya makampuni mengine wamefanya kitu ndiyo maana bundle hazikaiNdio kaka. GB 18 Kwa 15k, GB 38 kwa 30k Mwezi mzima alafu bando lake linakaa saana
Exactly, tuishi humo. Wanatudidimiza sanaMi nina amini bundle lina kaa sana sema tuu haya makampuni mengine wamefanya kitu ndiyo maana bundle hazikai.
Tangu nape awe waziri, internate imekuwa a ghali sana, usikute ni mrija wake wa kutuibiaHuduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.
Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika.
Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa.
Hivi wahusika mnajielewa kweli??
Kwanini mnachukua pesa zetu halafu mnatoa huduma mbovu.
Acheni wizi kwa watanzania, mnachukua pesa bila kutoa huduma za kueleweka.
Naipata kwenye halopesa! Fanya homework vizuriIla ndio inabidi uwe na laini ya M2M iyo
Ukinunua inakubali?Naipata kwenye halopesa! Fanya homework vizuri