Hi, add my Zangi private number for confidential correspondence and callsTumia zangi, download hiyo app. Unapata private number, hutumii namba yako wala hujisajili sehemu yeyote.
Wakuu,
Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda kuamua hatma ya Watanzania.
Hata baada ya kumwaga askari katika maeneo mengi ya Dar na kutuambia karibu kila dakika hali ni shwari bado wamechukua hatua hii mbaya ya kuzima mitandao! Wanatka kuficha nini?
Wanataka dunia isijue udhalimu unaoendelea nchini? Mpaka unafikia kufanya haya ni dhahiri kuwa hakuna anayekutaka, badala ya kutumia nguvu kubwa hivi si bora urudi zako nyumbani kucheza na wajukuu, maana hata ufanye nini mwisho wa siku utaanguka tu! Hakuna majibu mengine, labda uturoge Tanzania wote tukupende, vinginevyo hutoboi!
Eeh kiongozi ila uzuri watu wa JF mshafanya sana mazoezi ya kutumia vpn kwahiyo sio wageni πNdo maana sipati notifications
Ijapokuwa users weengi wamepotea sanaa tokaigungiwe tzEeh kiongozi ila uzuri watu wa JF mshafanya sana mazoezi ya kutumia vpn kwahiyo sio wageni π
Nimepoteza pisi zangu zote za JF πIjapokuwa users weengi wamepotea sanaa tokaigungiwe tz
Aiseeee kumbe watu mna makoloni humu humu ndaniNimepoteza pisi zangu zote za JF π
Nahisi watakaorud ni wachache sana baada ya kufunguliwa na wengi watarudi na id mpya
Daah ila hii kufungia sio sawa kabisa kwani watu wanashangaaa bando linaisha bure haifunguki duuuhNimebaki mwenyew tu tcra wamenitenga na makoloni yangu π
Wenzako tcra hawawazi hiko wao wanalinda ugali wao usimwagike πDaah ila hii kufungia sio sawa kabisa kwani watu wanashangaaa bando linaisha bure haifunguki duuuh
Sema ajira za watu kwa asilimia kubwa zinategemea internet mkuuWenzako tcra hawawazi hiko wao wanalinda ugali wao usimwagike π
Wewe unatumia mtandao gani kwani? Mbona kama bado zinafanya kaziWakuu,