ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kama wao ndio wachokozi basi Iran yupo kisheria zaid kutumia chochote kumwadabisha💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Kwa upande wa mass media propaganda kuna anaemuweza USA?My Take
Ushindi mwisho wa siku ni wa Israel/USA kama tuu ilivyokuwa Chadema kutamba mitandaoni ila ushindi uko Kwa CCM.
View: https://www.instagram.com/reel/DVbziJtiN2P/?igsh=NHVsbnZwZDRpYjNn
Mtaishia kujifariji kama AI za mashabiki wa Iran ila mahindi anajulikana kama alivyojulikana OktobaTukitoka kumnyoa Ayatollah tunarudi kumnyoa chura kiziwi mnyonya damu za watu
Huu ni utaniTukitoka kumnyoa Ayatollah tunarudi kumnyoa chura kiziwi mnyonya damu za watu
Accounts binafsi ndio zinatoa taarifa za Iran zaidi ila zile media kubwa zenyewe zinatoa taarifa ya USA.Kwa upande wa mass media propaganda kuna anaemuweza USA?
🙏
Wayahudi wanawapa amani ipi Wapalestina?Usipotaka kukaa kwa Amani na Wayahudi, unajitafutia balaa tu Duniani
Hakuna gharama yoyote kuishi na Wayahudi kwa Amani
Haya mnayoleta ni kutaka huruma za watu wawaunge mkono kwa kutojali kwenu kuishi na Wayahudi kwa Amani
Komaeni mmalizane nao
Kwani Wapalestina wao wanawapa Amani ipi Wayahudi mkuuWayahudi wanawapa amani ipi Wapalestina?
Marekani ni fundi wa propaganda,kinachoendelea kwenye media ni kuonyesha ulimwengu Iran anashinda vita huku Marekani akiendelea kufanya operations zake kimya kimyaMy Take
Ushindi mwisho wa siku ni wa Israel/USA kama tuu ilivyokuwa Chadema kutamba mitandaoni ila ushindi uko Kwa CCM.
View attachment 3553573
Una uhakika?Iran wanamdomo tu wa kiswahili ila wameshabanwa mbovu siku nyingi...wanatakiwa wasarende ndio pona yao.
Waslam ni wabaya sana,wanaroho mbaya hao watu