Manara ana roho nzuri, Jana kamtukana Rais wa TFF na tayari tumeshafungua shauri lake mwenye kamati ya maadili ya TFF,atakula mvua ya miaka bila kujihusisha na mpiraBabra ana roho mbaya
Makolo + makasiriko [emoji23][emoji23]Kwa kweli kocha Luc hakukosea kwa kusema mashabiki wa hii tm ni kama nyani na wanabweka ka umbwa, zeruzeru naye alikazia kwa kusema hiyo tm mwenye akili ni babake na JK tu ndio wanaomiliki akili wngine wote ni ka ng'ombe
Kitu gani unazungumzia?MAKOLO.....hamna haki nchini
Here we go,huyu hapa zuzu mwenzako,naomba muoneshe uzalendo wa kweli kumpigania mume wenu!MAKOLO.....hamna haki nchini