Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Salaam Wana JF,
Naona wengine wanasherekea ubingwa .....wengine Wana msherekea SOAP ndio magepu haya
Acha nirudi kwenye mada: leo katika pita pita zangu mitandaoni especially ule mtandao wetu pendwa wa kimamtoni A.K.A INSTAGRAM nimegundua yafuatayo Kati ya MANARA VS SIMBA
Simba Ilizaliwa mwaka 1936 lakini Ina followers million 3.8.
Manara,
Amezaliwa mwaka 1976 lakini ana followers =million 4
Source Instagram.