Mitandaoni: Manara ni mkubwa kuliko Simba

Mitandaoni: Manara ni mkubwa kuliko Simba

Simba itaendelea kuongeza wafuasi kwa miaka mingapi mbele na manara kwa miaka mingapi mbele?
Hili swali tulijadili now.....

Yanga itaendelea kufanya vzr Zaid....so manara ataendelea kugain zaid
 
Hili swali tulijadili now.....

Yanga itaendelea kufanya vzr Zaid....so manara ataendelea kugain zaid
HUJAELEWA SWALI.

KWA UFUPI USIPAMBANISHE UKUBWA JIWE LA BARAFU LILILOTENGENEZWA KIPINDI CHA BARIDI KALI NA JABALI, KIANGAZI KITAKAPOFIKA JABALI LITAENDELEA KUWEPO.
 
Ni utopolo pekee anayeweza kuamini mtoto anaweza kuwa mkubwa zaidi ya mlezi wake
nani mtoto nani mlezi? hiyo dunia ilishapita mkubwa sheria tu sote tuko sawa ! hakuna anaemlisha mwenzake kati ya Karai na Manara show show bampa to bampa!! ubingwa raha sana fataki Arusha kama hepi nyu yia!
Tutawakera Kolo FC mwaka mzima hadi mpasuke kwa hasira kama kachokozwa mnataka atulie hiyo haipo jino kwa jino mkubwa sijui mlezi nyumbani kwake!!
 
Back
Top Bottom