aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 5,175 Reaction score 16,488 Aug 26, 2023 #21 Mkuu nina fundi mzuri wa hiyo mitaro kama ukianza kuvuja nistue.
K Kitumburee Senior Member Joined Jan 31, 2012 Posts 142 Reaction score 88 Aug 26, 2023 Thread starter #22 aise said: Mkuu nina fundi mzuri wa hiyo mitaro kama ukianza kuvuja nistue. Click to expand... 😅so far iko konki haivuji
aise said: Mkuu nina fundi mzuri wa hiyo mitaro kama ukianza kuvuja nistue. Click to expand... 😅so far iko konki haivuji
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Oct 16, 2023 #23 Sorry mdau hv ulikumbuka kuweka VENT za hewa kwa juu? Nyumba ipate kuhema
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 6,108 Reaction score 21,140 Oct 16, 2023 #24 Nyuki Mdogo said: Hidden roof always say "I dont want peace, i want problems, always" Click to expand... Mimi huwa nadhani watu wanaojenga hizi nyumba huwa wanakosa washauri wazuri na hawajengi kwa nia ya kukimbia gharama za paa mwinuko. Ukiangalia jinsi jamaa anavyoumiza kichwa na gharama atakazoingia kurekebisha hiyo mistake mara mia angepiga paa la kawaida tu.
Nyuki Mdogo said: Hidden roof always say "I dont want peace, i want problems, always" Click to expand... Mimi huwa nadhani watu wanaojenga hizi nyumba huwa wanakosa washauri wazuri na hawajengi kwa nia ya kukimbia gharama za paa mwinuko. Ukiangalia jinsi jamaa anavyoumiza kichwa na gharama atakazoingia kurekebisha hiyo mistake mara mia angepiga paa la kawaida tu.