Mitaro ya maji katika paa la flat roof

Mitaro ya maji katika paa la flat roof

Mkuu nina fundi mzuri wa hiyo mitaro kama ukianza kuvuja nistue.
 
Hidden roof always say "I dont want peace, i want problems, always"
Mimi huwa nadhani watu wanaojenga hizi nyumba huwa wanakosa washauri wazuri na hawajengi kwa nia ya kukimbia gharama za paa mwinuko.

Ukiangalia jinsi jamaa anavyoumiza kichwa na gharama atakazoingia kurekebisha hiyo mistake mara mia angepiga paa la kawaida tu.
 
Back
Top Bottom