Mitazamo ya kike na kiume

Mitazamo ya kike na kiume

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Habari za mchana wapendwa,

Leo nasukumwa kusema haya. Nimekuwa nikiwatazama watu wa jinsia tofauti kwa mtizamo wangu na mwishowe kumuweka huyo mtu kwenye kundi ninaloona anafaa. Hii imenisababishia hadi sasa siko kwenye mahusiano maana nimekuwa nikijiona niko juu ya hao wote ninaokutana nao.

Nomba msinielewe vibaya, si kuwa ninawasengenya au kuwasema watu niliokutana nao maana sitawataja hapa ila ntaongelea jinsi nilivyokuwa nawachukulia.Tangu niko mschana nimekuwa nikipenda niwe na mwanaume ambaye amenizidi kwa asilimia 40 hadi 60 kwenye nyanja zote.

Yani nakuwa nina furaha iwapo nakuwa na mwanaume anizidi kiumri, kimaarifa, kielimu, kiustaarabu, anizidi kimaamuzi, kiuchumi, uwezo wa kutafsiri mambo na hata kimtazamo kwa ujumla.

Mfano, huwa nagundua mwanaume ninayetoka naye nimemzidi kiuchambuzi au kiutambuzi pale ambapo tunakuwa tunaangalia movie ambapo wote mnaangalia hiyo movie halafu unakuta anakuuliza sasa hapo alipofanya hivo ndo anamaanisha nini, to me that's a negative sign to go on with that relationship.

Kama huwa anafanya hivo ili kunogesha tuu maongezi au kuuliza tuu maswali kama maswali ya kimapenzi yaanimie huwa naboreka na huwa sijibu swali.Utakuta imefikia kipindi kwenye hiyo movie wana kiss on the move to make love halafu unakuta jamaa anakuuliza, ndo wanataka kufanyaje hapo mie kimoyomoyo.

Are you blind!? Kwa wana saikolojia huwa wanatumia picha au michoro flani kisha wanakupa uitafsiri ili kujua akili yako inaweza kuona nini na nini na unaweza kuitafsiri hiyo picha beyond au utaishia kutafsiri tukio moja tuu wakati picha inazaidi ya message moja.Sasa utakuta unatoka na mwanaume kwenye maonesho ya painting.

I like painting so huwa naenda sana kwenye maonesho ya picha na vitabu) sasa mnasimama kwenye picha au paint mojawapo halafu unaitizama na kuanza kuidadavua emotionally in my thinking kasha unamuuliza what do you see in this picture anakwambia flowers yaani najikuta nakuwa demoralized kuendelea kuwa nae I just keep myself off that relationship.

Si kuwa nawaona hawana akili ila kutokana na mie kuona kuwa naweza kuchambua vitu zaidi yake naona siwezi kuwa chini yake maana ideas zake ntaziona ziko low na ntaona kama ananirudisha nyuma kila nnachotaka kufanya.Kitu kingine huwa namuona mtu niliyemzidi ideas, thinking ntakuwa kama namburuza na mwisho kuniona mie ni kiburi.

My thinking has made me to date being single and I don't think if I can intermingle. Yes I go out with a man, we talk, we chill, we dance da da da of we go no string attached lools. Hope sijamsema mtu hapa zaidi nimejidadavua mwenyewe.

Am I overconfidence!?

Iftar njema.

Kasie.
 
Kwa lugha nyingine hutaki kuwa Ng'ombe, unataka kuwa mkia, yaani kutingishwa tingishwa tu. Nyie viumbe sijui mtajielewa lini, mkienda shule noma, msipokwenda shule ndiyo noma kabisaa!! Halafu ukimpata anayekuzidi kila kitu utalalamika anakunyanyasa kwa kuwa kakuzidi kila kitu. Badilikeni.
 
Ngumu sana kupata mtu anaejua kila kitu aisee bila kujali jinsia na hii inategemeana na hobby kwani kila mtu hubase kule kwenye Hobby yake mfano wewe utakuwa vizuri sana kwenye muziki wa R&B sababu ndo music unaoufeel sana so ikipigwa R&B tukiwa pamoja sababu najua we unajua hizo nyimbo si mbaya nikikuuliza hivi wimbo huo kaimba nani....Na mimi nipo fit kwenye hip hop so ikipigwa Dum Dums ya Das EFX naukaona natikisa kichwa na kutiririka mashairi yake sintakuona hujui utakaniuliza eti mchumba huo wimbo kaimba nani vile...Ndo hivyo hakuna anaejua kila kitu kila wakati ndo maana we ni dokta utamhitaji mwanasheria katika kesi zako....
 
Habari za mchana wapendwa,

Leo nasukumwa kusema haya………………………………………………………
Nimekuwa nikiwatazama watu wa jinsia tofauti kwa mtizamo wangu na mwishowe kumuweka huyo mtu kwenye kundi ninaloona anafaa. Hii imenisababishia hadi sasa siko kwenye mahusiano maana nimekuwa nikijiona niko juu ya hao wote ninaokutana nao…………………….
Nomba msinielewe vibaya, si kuwa ninawasengenya au kuwasema watu niliokutana nao maana sitawataja hapa ila ntaongelea jinsi nilivyokuwa nawachukulia.
Tangu niko mschana nimekuwa nikipenda niwe na mwanaume ambaye amenizidi kwa asilimia 40 hadi 60 kwenye nyanja zote. Yaani nakuwa nina furaha iwapo nakuwa na mwanaume anizidi kiumri, kimaarifa, kielimu, kiustaarabu, anizidi kimaamuzi, kiuchumi, uwezo wa kutafsiri mambo na hata kimtazamo kwa ujumla.
Mfano, huwa nagundua mwanaume ninayetoka naye nimemzidi kiuchambuzi au kiutambuzi pale ambapo tunakuwa tunaangalia movie ambapo wote mnaangalia hiyo movie halafu unakuta anakuuliza sasa hapo alipofanya hivo ndo anamaanisha nini…………………………………….. to me that's a negative sign to go on with that relationship. Kama huwa anafanya hivo ili kunogesha tuu maongezi au kuuliza tuu maswali kama maswali ya kimapenzi yaanimie huwa naboreka na huwa sijibu swali. Utakuta imefikia kipindi kwenye hiyo movie wana kiss on the move to make love halafu unakuta jamaa anakuuliza, ndo wanataka kufanyaje hapo….. mie kimoyomoyo………. Are you blind!!!!????
Kwa wana saikolojia huwa wanatumia picha au michoro flani kisha wanakupa uitafsiri ili kujua akili yako inaweza kuona nini na nini na unaweza kuitafsiri hiyo picha beyond au utaishia kutafsiri tukio moja tuu wakati picha inazaidi ya message moja.
Sasa utakuta unatoka na mwanaume kwenye maonesho ya painting, (I like painting so huwa naenda sana kwenye maonesho ya picha na vitabu) sasa mnasimama kwenye picha au paint mojawapo halafu unaitizama na kuanza kuidadavua emotionally in my thinking kasha unamuuliza what do you see in this picture anakwambia flowers…………………………………… yaani najikuta nakuwa demoralized kuendelea kuwa nae I just keep myself off that relationship.
Si kuwa nawaona hawana akili ila kutokana na mie kuona kuwa naweza kuchambua vitu zaidi yake naona siwezi kuwa chini yake maana ideas zake ntaziona ziko low na ntaona kama ananirudisha nyuma kila nnachotaka kufanya.
Kitu kingine huwa namuona mtu niliyemzidi ideas, thinking ntakuwa kama namburuza na mwisho kuniona mie ni kiburi. My thinking has made me to date being single and I don't think if I can intermingle. Yes I go out with a man, we talk, we chill, we dance…… da da da da daa… of we go no string attached lools.
Hope sijamsema mtu hapa zaidi nimejidadavua mwenyewe.
Am I overconfidence!!!???
Iftar njema.
Kasie.

utapitia wengi sana kabla ya kukutana na aliekuzidi 40-60% kwenye nyanja zote!!!! kama mimi hapo kwenye paint tu ungeshanimwaga maanake ningekuwa natazama vitu vingine kabisa probably mchoraji, badala ya paint yenyewe! mambo ya akina Picasso?! bado sana
 
Ngumu sana kupata mtu anaejua kila kitu aisee bila kujali jinsia na hii inategemeana na hobby kwani kila mtu hubase kule kwenye Hobby yake mfano wewe utakuwa vizuri sana kwenye muziki wa R&B sababu ndo music unaoufeel sana so ikipigwa R&B tukiwa pamoja sababu najua we unajua hizo nyimbo si mbaya nikikuuliza hivi wimbo huo kaimba nani....Na mimi nipo fit kwenye hip hop so ikipigwa Dum Dums ya Das EFX naukaona natikisa kichwa na kutiririka mashairi yake sintakuona hujui utakaniuliza eti mchumba huo wimbo kaimba nani vile...Ndo hivyo hakuna anaejua kila kitu kila wakati ndo maana we ni dokta utamhitaji mwanasheria katika kesi zako....

utapitia wengi sana kabla ya kukutana na aliekuzidi 40-60% kwenye nyanja zote!!!! kama mimi hapo kwenye paint tu ungeshanimwaga maanake ningekuwa natazama vitu vingine kabisa probably mchoraji, badala ya paint yenyewe! mambo ya akina Picasso?! bado sana

Haswaaaa.....mtu huwezi kuwa unajua kila kitu anachojua mtu mwingine LAKINI kuna mambo mengine ya kawaida sana ambayo mtu unatakiwa kuwa makini mfano kuna wengine hawawezi kuandika sentensi mbili mfululizo bila kukosea, akiandika anachanganya 'r' na 'l', watu wa namna hii mimi binafsi wanaofanya haya daaaah!
 
hahah kwenye paint ndo sector yangu, but kene movie me holla labda movie za animations kwingine holla, hapo jitahidi sana dada ila ngum kumpata kiukweliiiii......
 
Yaani wewe unanifaa mimi kabisa, maana pia huwa sipendi kuulizwa maswali ambayo hayana kichwa wala miguu. Kwa kweli tutafutane inawezekana tukamatch.
 
Habari za mchana wapendwa,

Leo nasukumwa kusema haya. Nimekuwa nikiwatazama watu wa jinsia tofauti kwa mtizamo wangu na mwishowe kumuweka huyo mtu kwenye kundi ninaloona anafaa. Hii imenisababishia hadi sasa siko kwenye mahusiano maana nimekuwa nikijiona niko juu ya hao wote ninaokutana nao.

Nomba msinielewe vibaya, si kuwa ninawasengenya au kuwasema watu niliokutana nao maana sitawataja hapa ila ntaongelea jinsi nilivyokuwa nawachukulia.Tangu niko mschana nimekuwa nikipenda niwe na mwanaume ambaye amenizidi kwa asilimia 40 hadi 60 kwenye nyanja zote.

Yani nakuwa nina furaha iwapo nakuwa na mwanaume anizidi kiumri, kimaarifa, kielimu, kiustaarabu, anizidi kimaamuzi, kiuchumi, uwezo wa kutafsiri mambo na hata kimtazamo kwa ujumla.

Mfano, huwa nagundua mwanaume ninayetoka naye nimemzidi kiuchambuzi au kiutambuzi pale ambapo tunakuwa tunaangalia movie ambapo wote mnaangalia hiyo movie halafu unakuta anakuuliza sasa hapo alipofanya hivo ndo anamaanisha nini, to me that's a negative sign to go on with that relationship.

Kama huwa anafanya hivo ili kunogesha tuu maongezi au kuuliza tuu maswali kama maswali ya kimapenzi yaanimie huwa naboreka na huwa sijibu swali.Utakuta imefikia kipindi kwenye hiyo movie wana kiss on the move to make love halafu unakuta jamaa anakuuliza, ndo wanataka kufanyaje hapo mie kimoyomoyo.

Are you blind!? Kwa wana saikolojia huwa wanatumia picha au michoro flani kisha wanakupa uitafsiri ili kujua akili yako inaweza kuona nini na nini na unaweza kuitafsiri hiyo picha beyond au utaishia kutafsiri tukio moja tuu wakati picha inazaidi ya message moja.Sasa utakuta unatoka na mwanaume kwenye maonesho ya painting.

I like painting so huwa naenda sana kwenye maonesho ya picha na vitabu) sasa mnasimama kwenye picha au paint mojawapo halafu unaitizama na kuanza kuidadavua emotionally in my thinking kasha unamuuliza what do you see in this picture anakwambia flowers yaani najikuta nakuwa demoralized kuendelea kuwa nae I just keep myself off that relationship.

Si kuwa nawaona hawana akili ila kutokana na mie kuona kuwa naweza kuchambua vitu zaidi yake naona siwezi kuwa chini yake maana ideas zake ntaziona ziko low na ntaona kama ananirudisha nyuma kila nnachotaka kufanya.Kitu kingine huwa namuona mtu niliyemzidi ideas, thinking ntakuwa kama namburuza na mwisho kuniona mie ni kiburi.

My thinking has made me to date being single and I don't think if I can intermingle. Yes I go out with a man, we talk, we chill, we dance da da da of we go no string attached lools. Hope sijamsema mtu hapa zaidi nimejidadavua mwenyewe.

Am I overconfidence!?

Iftar njema.

Kasie.

Kwa style hii itabidi ukae single for good!
 
Habari za mchana wapendwa,

Leo nasukumwa kusema haya. Nimekuwa nikiwatazama watu wa jinsia tofauti kwa mtizamo wangu na mwishowe kumuweka huyo mtu kwenye kundi ninaloona anafaa. Hii imenisababishia hadi sasa siko kwenye mahusiano maana nimekuwa nikijiona niko juu ya hao wote ninaokutana nao.

Nomba msinielewe vibaya, si kuwa ninawasengenya au kuwasema watu niliokutana nao maana sitawataja hapa ila ntaongelea jinsi nilivyokuwa nawachukulia.Tangu niko mschana nimekuwa nikipenda niwe na mwanaume ambaye amenizidi kwa asilimia 40 hadi 60 kwenye nyanja zote.

Yani nakuwa nina furaha iwapo nakuwa na mwanaume anizidi kiumri, kimaarifa, kielimu, kiustaarabu, anizidi kimaamuzi, kiuchumi, uwezo wa kutafsiri mambo na hata kimtazamo kwa ujumla.

Mfano, huwa nagundua mwanaume ninayetoka naye nimemzidi kiuchambuzi au kiutambuzi pale ambapo tunakuwa tunaangalia movie ambapo wote mnaangalia hiyo movie halafu unakuta anakuuliza sasa hapo alipofanya hivo ndo anamaanisha nini, to me that’s a negative sign to go on with that relationship.

Kama huwa anafanya hivo ili kunogesha tuu maongezi au kuuliza tuu maswali kama maswali ya kimapenzi yaanimie huwa naboreka na huwa sijibu swali.Utakuta imefikia kipindi kwenye hiyo movie wana kiss on the move to make love halafu unakuta jamaa anakuuliza, ndo wanataka kufanyaje hapo mie kimoyomoyo.

Are you blind!? Kwa wana saikolojia huwa wanatumia picha au michoro flani kisha wanakupa uitafsiri ili kujua akili yako inaweza kuona nini na nini na unaweza kuitafsiri hiyo picha beyond au utaishia kutafsiri tukio moja tuu wakati picha inazaidi ya message moja.Sasa utakuta unatoka na mwanaume kwenye maonesho ya painting.

I like painting so huwa naenda sana kwenye maonesho ya picha na vitabu) sasa mnasimama kwenye picha au paint mojawapo halafu unaitizama na kuanza kuidadavua emotionally in my thinking kasha unamuuliza what do you see in this picture anakwambia flowers yaani najikuta nakuwa demoralized kuendelea kuwa nae I just keep myself off that relationship.

Si kuwa nawaona hawana akili ila kutokana na mie kuona kuwa naweza kuchambua vitu zaidi yake naona siwezi kuwa chini yake maana ideas zake ntaziona ziko low na ntaona kama ananirudisha nyuma kila nnachotaka kufanya.Kitu kingine huwa namuona mtu niliyemzidi ideas, thinking ntakuwa kama namburuza na mwisho kuniona mie ni kiburi.

My thinking has made me to date being single and I don’t think if I can intermingle. Yes I go out with a man, we talk, we chill, we dance da da da of we go no string attached lools. Hope sijamsema mtu hapa zaidi nimejidadavua mwenyewe.

Am I overconfidence!?

Iftar njema.

Kasie.

Mpaka nimehisi kichwa kinauma maana Kwa hilo hakuna wa kuweza kukubadilisha zaidi ya Allah mlezi wako maana mapenzi na na uelewa wa vitu ni vimepishana sana ila nakushauri jifunze kuangalia anaefiti katika mapenzi yako ukiona anakufurahisha na kukuhandle vyema tulia nae na uwe tayari Kwa lolote juu yake, mengine achana nayo maana huko unakoelekea utakuja kupata maumivu yakukufanya uone dunia ni mbaya sana kuwa makini sana katika mapenzi yanahitaji vitu vidogo sana lakini vingi mno
 
Sielewi ni kitu gani Kasinde haelewi! Hivi unajua urafiki ni nini? Urafiki unatokana na hobbies kushabihiana. Siamini kama wewe ni wa unga ukawa na rafiki mlokole. Kama wewe ni mpenda paints lazima utafute rafiki ambaye naye ni mpenda paints
 
Habari za mchana wapendwa,
Leo nasukumwa kusema haya. Nimekuwa nikiwatazama watu wa jinsia tofauti kwa mtizamo wangu na mwishowe kumuweka huyo mtu kwenye kundi ninaloona anafaa. Hii imenisababishia hadi sasa siko kwenye mahusiano maana nimekuwa nikijiona niko juu ya hao wote ninaokutana nao.

Nomba msinielewe vibaya, si kuwa ninawasengenya au kuwasema watu niliokutana nao maana sitawataja hapa ila ntaongelea jinsi nilivyokuwa nawachukulia.Tangu niko mschana nimekuwa nikipenda niwe na mwanaume ambaye amenizidi kwa asilimia 40 hadi 60 kwenye nyanja zote.

....too unrealistic.....labda sijaelewa maana ya ''zote''...
 
date wanaume waliopo kwenye industry unayopenda kama maartist,movie lovers na other sectors unazozipenda hapo ndio utaelewana nao,ila kwa mtazamo mwingine nimekusoma kama vile maisha yako ni ya kimovies movies yaan kama sio ya tanzania culture and its like ur a control freak,rude and unromantic its like sense of manners kwenye love sector imekupitia kushoto(no offence),what i know if u love someone you wont mind yeye akikuuliza maswali in movie theaters au in picture and paint galleries,usipobadilika u will always end up alone,change ur attitude towards people.
 
Hyo selective yako ni balaa na kumpata huyo mtu nako ni kaz na ukibahatika kumatch na mtu type hyo probably atakuwa hana mapenz ya dhat na ww ukawa huna furaha ktk mahusiano ..ila kuwa na mwanamke anaejitambua ni advantage kubwa kwan mtashea mambo meng ya maendeleo kuliko yeye akawa ni dependant kimawazo kwa mwanaume ..endelea kuwa single hvyo hvyo mpk muujiza utapojitikeza kumpata huyo under categories zako
 
Nimekuelewa dada yangu Kasinde,But i think it's a matter of attitude...Quite honestly,Attitude is the deciding factor.It is the crucial difference btn optimism and pessimism...It's the difference btn two contrasting opinions...Kitu muhimu ni kufahamu kwamba hakuna mtu anayejua au kufahamu kila kitu,In this world hakuna ambaye anajua kila kitu kiasi cha kuweza hata kukuzidi ww kwenye kitu flani ambacho una una uzoefu nacho na haijalishi awe Mzungu,Mwarabu au Mswahili zipo nyakati atakazohitaji kukuuliza swali kuhusu jambo flani hata kama hilo swali kwa mtazamo wako ni la kipuuzi...Am so sad to tell you my Kasieeh Mtazamo wako kwa akili yangu ndogo ni Mtazamo usio na tija wala manufaa....All in all Listen your heart.
 
Back
Top Bottom