Mitazamo ya kike na kiume

Mitazamo ya kike na kiume

Haswaaaa.....mtu huwezi kuwa unajua kila kitu anachojua mtu mwingine LAKINI kuna mambo mengine ya kawaida sana ambayo mtu unatakiwa kuwa makini mfano kuna wengine hawawezi kuandika sentensi mbili mfululizo bila kukosea, akiandika anachanganya 'r' na 'l', watu wa namna hii mimi binafsi wanaofanya haya daaaah!
Kiukweli sikumaanisha niwe na mwanaume anayejua kila kitu ila awe anajua vingi kunizidi, mfano unakuta mie nikiambiwa niandie barua ya kuomba passport, naweza nikai draft alone bila kuomba assistance ya mtu, sasa unakuta mwanaume anakupigia simu naomba nidraftie barua ya kitu flani halafu mie ni sign..... wakati unakuta hiho kitu kina muhusu yeye per see, ukimwambia andika niisome anataka muandike wote yaani wewe useme maneno aandike................ aaagghhhr yaani hivo nakosa pose ya kuendelea hata kuongea nae aisee, yaani niko hivo sijui ni ugonjwa labda.....
 
Yaani wewe unanifaa mimi kabisa, maana pia huwa sipendi kuulizwa maswali ambayo hayana kichwa wala miguu. Kwa kweli tutafutane inawezekana tukamatch.

hahaaaa using opportunities eeehhh..................
 
Sielewi ni kitu gani Kasinde haelewi! Hivi unajua urafiki ni nini? Urafiki unatokana na hobbies kushabihiana. Siamini kama wewe ni wa unga ukawa na rafiki mlokole. Kama wewe ni mpenda paints lazima utafute rafiki ambaye naye ni mpenda paints

hiyo nimetolea mfano tuu ila nilichokuwa nawish tangu niko mschana ni kuwa na mwanaume mwenyekujua vitu vingi na mwenye uelewa wa vitu vingi kunizidi, sio mimi ndo niwe nimemzidi uelewa, elimu, mali aaaahhh kwakweli nashindwa.
 
....too unrealistic.....labda sijaelewa maana ya ''zote''...

najua kama signature yako inavosema, no body is perfect hata mie pie siko perfect ila nilikuwa natamani kuwa kwenye mahusiano na mwanaume aliyenizidi au mwenye upeo wa hali ya juu kunizidi, kielimu, kiuchumi, utambuzi wa mambo, hata kwenye kujiamini, sio unakuwa na mahusiano na mwanaume mnatoka home kwenda hotel anakuuliza upite njia ipi, na anakuwa yuko stuck anasubiri jibu lako yaani hana maamuzi hadi niseme, na si uwa anauliza ina a way ya kutaka u suggest wapi mpite, yaani anakuwa anakuuliza in a way useme na utakachosema ndo final.
 
Your altitude will determine your destination!!.....I think you will understand reality when you will be 45 years and you are still single!!
 
Kiukweli sikumaanisha niwe na mwanaume anayejua kila kitu ila awe anajua vingi kunizidi, mfano unakuta mie nikiambiwa niandie barua ya kuomba passport, naweza nikai draft alone bila kuomba assistance ya mtu, sasa unakuta mwanaume anakupigia simu naomba nidraftie barua ya kitu flani halafu mie ni sign..... wakati unakuta hiho kitu kina muhusu yeye per see, ukimwambia andika niisome anataka muandike wote yaani wewe useme maneno aandike................ aaagghhhr yaani hivo nakosa pose ya kuendelea hata kuongea nae aisee, yaani niko hivo sijui ni ugonjwa labda.....

Kweli tuko tofauti.mi ndo nnapenda hvyo yani.kumsaidia mwenzangu kufanya vitu kama hivyo.awe free for any kind of help he needs.tena nahisi furaha na amani sanaaaa pale anapofanikisha kitu nlichomsaidia.
Inakua ile hata kama siku sipo anakumbuka na kuwish ningekuepo nimsaidie.raha sana.jitahd ujarbu na wewe.
 
date wanaume waliopo kwenye industry unayopenda kama maartist,movie lovers na other sectors unazozipenda hapo ndio utaelewana nao,ila kwa mtazamo mwingine nimekusoma kama vile maisha yako ni ya kimovies movies yaan kama sio ya tanzania culture and its like ur a control freak,rude and unromantic its like sense of manners kwenye love sector imekupitia kushoto(no offence),what i know if u love someone you wont mind yeye akikuuliza maswali in movie theaters au in picture and paint galleries,usipobadilika u will always end up alone,change ur attitude towards people.

nashindwa kupretend na kubadilika, kunakipindi wakati niko mschana nilijaribu ku act nibadilike niwe siiendekezi hii tabia yangu, nilikuwa kama mgonjwa, nilishindwa na nikasepa na kuanza mbele. After all am single and am enjoying life.
Uzuri wake huwa siwaambii ile ya kuwa rude kwao huwa natafuta njia ya kisiasa ya kuachana nao na mwisho huwa tunabaki mafariki wa hi and bye.........
 
Nimekuelewa dada yangu Kasinde,But i think it's a matter of attitude...Quite honestly,Attitude is the deciding factor.It is the crucial difference btn optimism and pessimism...It's the difference btn two contrasting opinions...Kitu muhimu ni kufahamu kwamba hakuna mtu anayejua au kufahamu kila kitu,In this world hakuna ambaye anajua kila kitu kiasi cha kuweza hata kukuzidi ww kwenye kitu flani ambacho una una uzoefu nacho na haijalishi awe Mzungu,Mwarabu au Mswahili zipo nyakati atakazohitaji kukuuliza swali kuhusu jambo flani hata kama hilo swali kwa mtazamo wako ni la kipuuzi...Am so sad to tell you my Kasieeh Mtazamo wako kwa akili yangu ndogo ni Mtazamo usio na tija wala manufaa....All in all Listen your heart.

Thanks, na nimeifuata moyo wangu na kuusikiliza, am single and not ready to mingle, just enjoying life.
 
Mpaka umpate mwanaume anaekuzidi kwa kila kitu mbona kazi.

kwa sasa simtafuti tena, nilitafuta tangu niko mschana na nikawachana na hizo habari baada ya kujiona nakosoa sana.
 
mleta mada umeongea jambo zito sana, sometimes mwanaume ulomzidi upeo wakuchambua nakutekeleza ataona unamkalia aisee akiongea pumba ukimwambia sio hlo timbwili

Unaona eeeh, yaweza kuwa mie naona mbali kuhusu kuwekeza kwa ajili ya kujiandaa kustaafu, yeye anakwambia huko ni porini utakaa na nani, unampa data za serikali na mipango yake ya au yrs to come lakini mtu hata haelekei badala yake ndo kwana anakuvunja moyo usiendelee na wazo lako, ukilazimisha kulifanya unakuwa kama umemdharau khaa mie vikanishinda. Naona nakuwafresh naamua vya kwangu, nafanya vya kwangu approval moyo wangu looh, happy me.
 
So you’re always right then?

Not always na huwa napenda sana kukosolewa na huwa narekebishika haraka ila kwenye hii attitude yangu nimeshindwa jirekebisha, am not perfect neither an angel. Nina madudu yangu mengi tuu ila nakuwa comfortable kuwa na mwanaume ambaye amenizidi uelewa wa mambo kunizidi uelewa wangu, awe amenizidi kieleimu, kiuchumi, jinsi ya kutatua mambo.....
Sio linatokea tatizo anakuja anakueleza kuwa yuko stranded hajui afanyeje, nikiliangalia tatizo lenyewe very simple nampa clue na maisha yanaendelea, mie nikiwa na issue hajui jinsi ya kulitatua nakuwa najiona mie mgumu, yaani kicha ngumu kuwa naji manage mwenyewe sasa man wa kazi gani.
But am not right!! always......
 
Angalau namzidi kila kitu kasoro....

Hhahahaaaa amekuzidi kitandani nini looh, ukifika hapo unapelekeshwa kama mtoto mdogo..................... simoooooo
 
KASINDE,
SI LAZIMA MTU AJUE KILA KITU, HATA WEWE PIA KUNA VITU HUVIJUI KWA 100%,:wacko:

Ni kweli na sitaki anayejua kila kitu, yaani awe anajua vingi kunizidi uelewa wangu, na awe na vingi kunizidi, sio mie nina gari yeye hana halafu tunaanza kushare gari yangu aaah kwa hapo mie ni mchoyo aisee, my be am selfish na ningekuwa kwenye ndoa ningefeli tangu day one kila nikiwaza naona nashindwa.
 
Kasie nishaomba crash kibao na wewe majibu hadi sasa ni sifuri, ungecrash na mimi wala usingekuja kuandika haya hapa.

Hhahahahahaaaaaa usemayo ni kweliiiii, tatizo crush za kupanga hazinogi, zinanoga za kubambana kwenye foleni, au club au kanisani au kwenye sherehe kama za harusi au misiba............
tu crush huko waweza nikamata hii ya kupanga hainogi, nakuwa too official
 
Back
Top Bottom