Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
- Thread starter
- #101
Ukichunguza sana utagundua tatizo unalo zungumzia ni 'chemistry'
au 'lack of chemistry' kati yako na hao wanaume
kuna maneno yanaitwa 'sweet nothin'
ni mambo tu ya kijingajinga kati ya watu wawili
but kwa sababu wanaelewana na kupendana ...hawaboani
ukiona mtu anakuboa kwa kukueleza ujinga ujue kuna kitu serious missing...
'mapenzi ni mchezo wa kitoto kwa watu wazima'
mchezo wa kitoto kwa watu wazima, mmmh sijui kama ntaweza kuicheza kwa umri niliofikia.
Au hata wazee waliostaafu nao wanaucheza