Ukichunguza sana utagundua tatizo unalo zungumzia ni 'chemistry'
au 'lack of chemistry' kati yako na hao wanaume
kuna maneno yanaitwa 'sweet nothin'
ni mambo tu ya kijingajinga kati ya watu wawili
but kwa sababu wanaelewana na kupendana ...hawaboani
ukiona mtu anakuboa kwa kukueleza ujinga ujue kuna kitu serious missing...
'mapenzi ni mchezo wa kitoto kwa watu wazima'
mchezo wa kitoto kwa watu wazima, mmmh sijui kama ntaweza kuicheza kwa umri niliofikia.
Au hata wazee waliostaafu nao wanaucheza
Ulishawahi kuumizwa kimapenzi?
Ulilelewa na single mother?
Yeah wakati niko mschana, na nilishasemaga hiyo pia. Since then I didn't give relationship a chance rather than being selfish. At least now I have grown up and matured old enough not to have relationships but can have chat with a man or dance or share some stories. That's it
Yap, that's me.
hahaaaa Give me a break...........!!! NIMUOE....!!! we naona umeamua kumtusi Kiranga au ndo ulimi hauna mfupa??? teh teh
Ila kwa sasa hiyo era ya ndoa kwangu imeshapita, am just cruising in this ship called earth.
yeah na hatukuwa tuna last kwenye hayo mahusiano na mie ndo nilikuwa nasepa ila not rudely.
Hii itakuwa ndio sababu kubwa. Hapa ni kwamba umeathirika kisaikolojia. Hayo mambo ya IQ na nini.. ni ziada tu. Lakini nakuambia hv: IKO SIKU ITAFIKIA NA UTAPENDA TU! BINADAM NI WAWILI WAWILI BANA! SEMA TU HUJAKUTANA NA MTU ULIYECHUKUWA UBAVU WAKE, ILA YUPO. NASEMA IKO SIKU!!!
Mie sitaki mitaala nina wivu balaa
Dancing, traveling, cooking, reading painting etc... just few to mention
utakua peke yako