Mitazamo ya kike na kiume


Tatizo liko hapo....jinsi ulivyo kuwa raised
kuna emotional bruises zinazokufanya upende mtu
ambae atakuwa 'father figure' zaidi kwako
akuzidi kila kitu uwe kama a baby to him...lolote linalokushinda
unamfata yeye ana li clear......your past has a lot to do with this
 

Nami nahisi hapo ndo matatizo yake yanapoanzia.
 
Daaaa! Wewe safi sana sema tu unaotoka nao hawajui namna ya kuku chukulia.
 
hebu baelezee uko peke yako mpenzi
 
Habari ya asubuhi dada, sasa leo ntaanza kuongea na wewe step by step ili kurespond kwa hii post yako. Moja binadamu tunatofautiana na ndicho kinafanya Dunia kuwa mahala pazuri pa kuishi. Kwa mfano binadamu tuna hobbie tofauti tofauti, kuna ambao hobbie zao ni muziki, wengine movies, wengine sports, wengine politics, wengine arts kama wewe nk. Sasa I think sio vizuri sana kumuhukumu mtu kwasababu hobbies zake zinatofautiana na zako. Kwa mfano mimi naweza kuelezea vizuri sana kama tunawatch movie utafikiri mimi ndio nimeidirect, naweza kusikiliza na kuimba muziki ila I know nothing about paintings ingawa I used to be a painter. Kwahiyo kwenye mahusiano ni vizuri kuangalia ni namna gani mnaunganisha preferences zenu na kila mmoja kuwa na uwezo wa kuaccommodate za mwenzie. Hii ni sehemu ya kwanza ya response yangu, ntakuja na sehemu ya pili.
 
Sehemu ya pili ni superiority kwenye mahusiano. Kwenye mahusiano mara nyingi superiority huwa haiangalii sana kipato, elimu au uelewa, inaangalia who is a man and who is a woman. Waafrika ndio bado tunayo sana hii na ndio maana unakuta ndoa nyingi za kiafrika huwa zinadumu tofauti na na nchi za ulaya na marekani. Sasa ukiwa unataka kuingia kwenye mahusiano halafu ukaangalia elimu, kipato na uelewa utajikuta una narrow down your choices of a person you could match or who could be the best for you. Imagine namna unavyo perceive watu unaotaka kuingia nao kwenye mahusiano, then ukakutana na mtu mwenye tabia kama za kwako, then mkaingia kwenye mahusiano do you think your relationship will work? Mi nadhani hapana kwasababu hakutakuwa na mtu ambaye atafight kuendelea kuwemo kwenye mahusiano as wote mnaamini you can stand on your own. Zamani kwa mfano watu walikuwa wanakuwa bound na watoto, how the community will see them if they separate na kwa mwanamke ni namna gani mahari iliyotolewa itarudishwa na wazazi wake na hata ikirudishwa ni namna gani wazazi watamuona? Siku hizi wenyewe mnasema whatever I do its my choice, mtu akiwaambia hapo you are not going the right direction mnamuita HATER, na hata mkiachana na baba au mama yako akajaribu kukuambia kitu mnamwambia its my life. So kikubwa ni perception yetu wenyewe inayopelekea yote haya. Ntaendelea na sehemu nyingine soon
 
Have you given second thought to your standardized tests?

The problem is time has lapse, if I gave a second thought to what I standardized still I won't be able to make it. Am too old to correct my errors.
 
hahahahhah kwenye point of weakness unatilia mkazo khaaaaaaah Thank for Correction My

Hhahahahaaa karibu best, tunaongeza siku za kuishi. Enjoy.
 

You are absolutely right, 100% right. But I dare not to say more.
Thanks for caring and sharing.
Kasie.
 
hebu baelezee uko peke yako mpenzi

Nasubiria walio likizo na walio kwenye mfungo wamalize, nisijishaue hapa niko mwenyewe kumbe wengine wanasubiri mfungo uishe.
Though so far am alone looh!!
Plan za Eid................. Zenji au..............???
 

Nimekusoma best and you are impressing me
................... nakufatilia..............
 

Nimesoma maneno yako yamenigusa, nimejikuta narudia kusoma tena na tena ............................... naendelea kukufatilizia nafikiri u have something ambacho nilikuwa sijakiwaza............
Thanks best
 
Kwamtindo huo utakuwa single forever bi dada.Huwezi ukakutana na mtu aliye 'effective' katika idara zote.

Na kama utaendelea kumtafuta utasubiria saana mwisho wa siku utajikuta unazeeka na hatimaye kufariki na "utamu wako".

Your biological clock still ticking,wake up beautiful girl
 
just fine coz u have accepted who you are
but if it hurts you am really sorry for u
 
Nimesoma maneno yako yamenigusa, nimejikuta narudia kusoma tena na tena ............................... naendelea kukufatilizia nafikiri u have something ambacho nilikuwa sijakiwaza............
Thanks best
unfortunately sioni button ya like kweye hii post
kama umefikia hapa this is a good sign we must
accept we ar african we have our pride eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…