Mitazamo ya kike na kiume

Mitazamo ya kike na kiume

Kwamtindo huo utakuwa single forever bi dada.Huwezi ukakutana na mtu aliye 'effective' katika idara zote.

Na kama utaendelea kumtafuta utasubiria saana mwisho wa siku utajikuta unazeeka na hatimaye kufariki na "utamu wako".

Your biological clock still ticking,wake up beautiful girl

am already late my time kufukuzana na jinsia ingine shapita, I'll remain single for the rest of my life.
Thanks for caring and sharing.
Kasie.
 
just fine coz u have accepted who you are
but if it hurts you am really sorry for u
thank God am fine na siijutii nafsi yangu maana hata hivo sijabadilika tabia yangu iko vilevilee ni vile tuu sishuhuliki tena na kutafuta aliyenizidi.
 
am already late my time kufukuzana na jinsia ingine shapita, I'll remain single for the rest of my life.
Thanks for caring and sharing.
Kasie.

Oky,i'm sorry for hearing that,but i hope u have accepted the situation.I believe every thing happen for a reason
 
Yeah, and to sme extent huwa najiambia always, I was not intended for being a wife, and if I would have force it, may be ningefail na ningeachika au tunge divorce au ninge muumiza ambaye angejitolea kunipenda maana ningekuwa hapendeki.
Ila ninachomshukuru munguni kuwa najipenda, najijali na najitunza, atayeniona namna gani vipi mie wala sina time naye, naendelea kufanya kazi kwa bidii natengeneza hela na najipongeza kwa malengo ninayojiwekea niyatimize. Ndo ileee nasema nakula ujanaaa maisha yenyewe mafupiii mie nakula ujana japo umri umeenda nakesha nakula ujana.

That's good for u,it seems u are not intended to engage yourself in longterm relationship.And since u have said unakula ujana,inanipa hisia kuwa to some extent huwa unakuwa katika short term relations.Am i right??
 
Kwa Aina ya mtu unayemtafuta I'm sure Nina Sifa Ila pia Napenda kuwa friends with benefits, NO FEELINGS ATTACHED
 
Hhahaahahaaa weeweeeee, mie sitabiriki niko kama kinyonga kigeugeu mara wa blue mara pink mara njanoo sometimes am un-explainable looh.
Kiufupi nikishikika sanaa na nyege huwa natafuta pa kuzimwaga (.......................) otherwise nikikutana na mtu ni kwenye clubs au parties tukimaliza dance au party ikiisha sina time na wewe na hatujuani,
 
Kwa Aina ya mtu unayemtafuta I'm sure Nina Sifa Ila pia Napenda kuwa friends with benefits, NO FEELINGS ATTACHED

not looking for friends anymore........... am too old for this. Nimewaachia vijana mambo haya. Hapa nilikuwa naelezea past yangu huko nyuma wakati niko mschana.
 
Back
Top Bottom