Mithali 5 ipo moto sana na kutuonya wanaume dhidi ya Malaya

Mithali 5 ipo moto sana na kutuonya wanaume dhidi ya Malaya

Mikopo Consultant

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2024
Posts
529
Reaction score
1,150
Mithali 5:3 Maana midomo ya malaya hufondoxa asali, na kinywa chake ni laini kuliko mafuta

Mithali 5:4 Lakini mwisho wake ni mchungu kuliko pakanga, ni mkali kama upanga wa makali kuwili

Mithali 5:5 Miguu yake inatelemkia mauti, hatua zake zinashikamana na kuzimu

Mithali 5:8 Itenge njia yako mbali naye, wala usiukaribie mlango wa nyumba yake

Mithali 5:9 Usije ukawapa wengine heshima yako, na wakorofi miaka yako

Mithali 5:10 Wageni wasije wakashiba nguvu zako, kazi zako zikawa ndani ya nyumba ya mgeni

Mithali 5:11 Nawe ukaziombolea siku zako za mwisho, nyama yako na mwili wako utapoangamia

Mithali 5:15 Unywe maji ya birika lako mwenyewe, na maji yenye kububujika katija kisima chako

Mithali 5:16 Je chemchem zako zitawanyike mbali, na mito ya maji katika nyia kuu?

Mithali 5:17 Yawe yako mwenyewe peke yako, wala si ya wageni pamoja nawe

Mithali 5:18 Chemchem yako ibarikiwe; nawe umfurahie mke wa ujana wako

Mithali 5:19 Ni ayala apendaye na paa apendezaye, maziwa yake yakutoshe sikuzote; na kwa upendo wake ushangilie daima

Mithali 5:20 Mwanangu! mbona unashangilia mayala, na kukikumbatia kifua cha mgeni?

Mithali 5:21 Kwa maana njia za mwanadamu zi mbele ya macho ya bwana , na mienendo yake yote huitafakari

Mithali 5:22 Maovu yake yeye yatampata mdhalimu, naye atashikwa kwa kamba za dhambi zake.

Mithali 5:23 Atakufa huyo kwa kukosa maonyo, naye atapotea kwa wingi wa ujinga wake.

Japo conclusion ni kufa, ila kwasababu hakuna atayeishi milele maana yake hata decent people watakufa, ila bado ujumbe una uzito mkubwa sana, kwamba, tuheshimu ndoa zetu both wanaume na wanawake

Unajikuta mke wako nyonyo zishalegea sababu yako weqe halafu unamwacha unaenda kwa chuchu saa sita, hii kweli haijakaa powa. Maana wewe ndo umemchakaza...
 
Vipi kwa sie atheist
Japo sio ujumbe mbaya.. ana point kuna busara fulani ipo ndani yake. Mfano yani mkeo umemzalisha watoto wanne halafu maziwa yashakuwa lapa, halafu umuache ukatafute chuchu saa sita... hiyo kweli sio fair kabisa. It make sense
 
Huyo mwandishi wa mithali alikuwa anapenda malaya kuliko hata mimi
Itakuwa alikumbwa na matukio maana amewaelezea malaya sana na tabia za kimalaya.... japo kuna busara kubwa ya haya maandiko
 
5:15 Munisi mwimbaji alipita humohumo
In short ni 🔥
Kabisa mkuu... ila sasa najiuliza kumbe haya mambo ya kuchepuka na kula malaya yalianza miaka mingi ilopita.

Halafu watu wanakuambia eti dunia, mi naona kwamba haya matukio ya sasa yamekuwa mengi sababu ya access ya internet. Matukio ya ajabu yapo hata zamani.

Kama malaya walikuwepo hata kufumaniana kulikuwepo.
 
Back
Top Bottom