Muyobhyo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 8,149
- 6,547
zuzu kabisa wewempapai au mgomba emu jaribu hiyo kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
zuzu kabisa wewempapai au mgomba emu jaribu hiyo kwanza
Wakuu naomba mnijuze aina ya miti ya kupanda kwa ajili ya kivuli ambayo inakua haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Aende pale SUA au nane nane atapata mbegu ya maanaPanda miembe mifupi mkuu. Au mikomamanga.
love thé love or hâte thé love.....
Tatizo la miti hiyo ni kuwa haiishi miaka mingi.kuna miti kama upo dar imepandwa pembezoni mwa barabara iendayo mwenge tokea Moroco ni mizuri sana kwa kivuli na inakuwa haraka- marawi yake yanakuwa kama ngazi ngazi hivi!
Lalashe hiyo pia inaitwa MibundukiDr. hiyo mitiki faida zake nini... ninapenda miti saana... nimeshazoea mitope tope miparachichi stafeli michungwa ambayo mwisho wa siku napata matunda.
Lalashe hiyo pia inaitwa MibundukiDr. hiyo mitiki faida zake nini... ninapenda miti saana... nimeshazoea mitope tope miparachichi stafeli michungwa ambayo mwisho wa siku napata matunda.
Asante lalasheLalashe hiyo pia inaitwa Mibunduki
Hakuna mti wenye mbao ngumu kama hiyo
Ndiyo iliyotengenezewa meli ya MV Liemba
Na imeitwa mibunduki kwakuwa huwa inatengenezewa vitako vya bunduki, na kama ujuavyo inaishi miaka mingi mnoo bila hata kufubaa.
Ni zaidi ya chuma.
Arusha pia ipo, nitakuelekeza panapouzwa.
Siyo kweliNafikiri mitiki ni mti ghali kuliko miti yote kwani ubao wake mkuu daby unatumika kutengeneza vitako vya bunduki na kutengenezea meli ni miti ambayo inafaida sana ukilima ekari moja unauuga umasikini.
Sehemu nyingi inastawi.......ila zaidi kwenye mvua za kutosha, joto la wastani na udongo wenye kina kirefu. Mashamba makubwa ya Teak yapo Tanga (Longuza), Morogoro (Turiani, Ifakara etc). Kazi kwako.....ukipata kijitabu cha mbegu cha Tanzania Tree Seed Agency kimeorodhesha maeneo kwa ufasaha zaidi.
Mimi binafsi nimeipanda kwangu na shambani japo si kwa wingi.
Mkuu ubao wa teak huwezi kuununua its very expensive na endapo ukilima hata ekari moja lazima mabenki waje wakubembeleze uwauzie.
Ni mawazo yang kwa hivyo unahaki ya kukubali au kukataa mkuu.Siyo kweli
Ni mawazo yang kwa hivyo unahaki ya kukubali au kukataa mkuu.Siyo kweli
Sina jibu la moja kwa moja ni mbao gani ni GHALI zaidi duniani, kuna mbao nyingi zinazouzwa ghali kuliko hizo teak. Bubinga ni mfano mzuri, ni ubao aghali sana na upatikanaji wake si rahisi, nina wiki mbili sasa natafuta slab 100 za 2x12 Tanzania sijazipata, nimepata quote kutoka Congo simchezo na usafirishaji juu yangu! Hebu jaribu kuulizia ubao wa 2x8 wa mpingo halafu uje tena useme mtiki ndiyo expensive!!!Ni mawazo yang kwa hivyo unahaki ya kukubali au kukataa mkuu.
Lakini pia wewe unaweza kutwambia mti ambao ni ghali zaidi maana umepinga bila kutoa hoja.
Mwembe mfupi waweza ukakaa chini yake ukapata kivuli??Panda miembe mifupi mkuu. Au mikomamanga.
love thé love or hâte thé love.....
Ahsante sana.Kuna miti mizuri ya kivuri inaitwa miaradali inakua haraka sana, jarubu kutembelea maeneo ya vitaru vya maua na miti ulizia mti huo.
Sent using Jamii Forums mobile app