Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua mbigu ukajaribishe kupandaNawasalimu kwa Jina la Jamhuri.
Naomba kuuliza kwa wenye utaalamu wa mambo ya mazingira. Je, kwa mazingira yetu Tanzania miti hii ya Cherry Blossom inaweza kustawi vema kama sehemu nyingine Japan, korea etc?
Bila picha Uzi huu ni MBUSUSUNawasalimu kwa Jina la Jamhuri.
Naomba kuuliza kwa wenye utaalamu wa mambo ya mazingira. Je, kwa mazingira yetu Tanzania miti hii ya Cherry Blossom inaweza kustawi vema kama sehemu nyingine Japan, korea etc?
Ndio mikoa ya nyanda za juu kaskazini, nyanda za juu kusini na magharibi mwa TanzaniaNawasalimu kwa Jina la Jamhuri.
Naomba kuuliza kwa wenye utaalamu wa mambo ya mazingira. Je, kwa mazingira yetu Tanzania miti hii ya Cherry Blossom inaweza kustawi vema kama sehemu nyingine Japan, korea etc?
shukrani sana, inachukua muda mrefu mpaka kustawi? labda mwaka mmoja au ni zaidi?Ndio mikoa ya nyanda za juu kaskazini, nyanda za juu kusini na magharibi mwa Tanzania
kwahio mti kama ni mzuri usiupande kwako kwa vile ni wa nje? mh! nakuona nawewe unatumia viatu na nguo za asili kwakua sio mtumwa kifikraUtumwa wa fikra kwa mwafrica hasa mtanzania hautokuja kuisha,Yani tunawaza hadi miti ya nje ni bora kukiko misonobali yetu ebu panda mikaratusi na mivinje hapo kwako utakuja kunishukuru
Mizuri kwa mapambo! Ina matumizi mengine zaidi ya kivuli na mapambo?