Miti ya parachichi inarefuka na kuwa myembamba

Miti ya parachichi inarefuka na kuwa myembamba

romaxwell

New Member
Joined
Mar 4, 2024
Posts
4
Reaction score
6
Nina miti ya parachichi iliyo ota katika shimo Moja na imekua na muda mrefu sana bila kutoa matunda imerefuka tu na kua nyembamba kiasi

Je, nifanyajee?
 
Shimo moja? Hebu fafanua zaidi. Kama umeotesha shimo moja zao la muda mrefu umekosea. Jambo la kufanya punguza mti mmoja na ubaki mti mmoja katika shimo.
 
Aisee! Mimi kuna mti wa parachichi unaelekea miaka 6 bado haujazaa. Niliuotesha mimi mwenyewe unanisaidia kivuli tu.
 
Back
Top Bottom