R romaxwell New Member Joined Mar 4, 2024 Posts 4 Reaction score 6 Sep 27, 2024 #1 Nina miti ya parachichi iliyo ota katika shimo Moja na imekua na muda mrefu sana bila kutoa matunda imerefuka tu na kua nyembamba kiasi Je, nifanyajee?
Nina miti ya parachichi iliyo ota katika shimo Moja na imekua na muda mrefu sana bila kutoa matunda imerefuka tu na kua nyembamba kiasi Je, nifanyajee?
Mpatuka JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 2,261 Reaction score 3,580 Sep 28, 2024 #2 Shimo moja? Hebu fafanua zaidi. Kama umeotesha shimo moja zao la muda mrefu umekosea. Jambo la kufanya punguza mti mmoja na ubaki mti mmoja katika shimo.
Shimo moja? Hebu fafanua zaidi. Kama umeotesha shimo moja zao la muda mrefu umekosea. Jambo la kufanya punguza mti mmoja na ubaki mti mmoja katika shimo.
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 Sep 28, 2024 #3 Weka picha tutathimini kwa macho
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Sep 28, 2024 #4 Mkuu huenda Hadi Sasa simu Yako Bado haikusaidii katika kurahisisha mambo. Kwanini usingeambatanisha na picha?
Mkuu huenda Hadi Sasa simu Yako Bado haikusaidii katika kurahisisha mambo. Kwanini usingeambatanisha na picha?
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Oct 2, 2024 #5 Miti katika shimo Moja!,Hapo unechemka.
City Of Lies JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 4,925 Reaction score 6,137 Oct 2, 2024 #6 Aisee! Mimi kuna mti wa parachichi unaelekea miaka 6 bado haujazaa. Niliuotesha mimi mwenyewe unanisaidia kivuli tu.
Aisee! Mimi kuna mti wa parachichi unaelekea miaka 6 bado haujazaa. Niliuotesha mimi mwenyewe unanisaidia kivuli tu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Oct 3, 2024 #7 Miparachichi migumu sana