Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Duuuuhh, kwamba kina ...........................wanaweza kupanga nani awe waziri na sio Rais?kwa akili ya kawaida unaona Dotto anaweza kuingilia madili ya upigaji ya makamba?
mama mwenyewe kashikwa pabaya na hawa watoto wa wenye ccm yao. nape,makamba,rizone. hawa in untouchable kama makonda na magu.
huyoo dotto ni kibaraka palee yeye mwenyewe haamini kapataje pataje hiyoo nafasi, ukiingia ndani zaidi utashangaa hao kina makamba ndo wamemchomeka kwenye hio nafasi kwa vimemo.
Duuuuhh, kwamba kina ...........................wanaweza kupanga nani awe waziri na sio Rais?
Kama ni hivyo hata majina matano na mgombea Urais CCM 2030 kila kitu kishapangwa.tafuta rula na kalamu upigie mstari hayo majibu yako.
Embu funguka japo hata kwa codesKichwa cha mtu kinatafutwa kuliwa kimasihara.
Wala usiumize kichwa, wote hao lao ni mmoja. Hakuna atakachofanya zaidi ya yeye kujitengenezea mrija wake pembeni.Nauona mitihani mkubwa kwa waziri Dotto Biteko kuhusu Nishati.
Hii Wizara ina upigaji mwingi kwa watu wasio waadilifu ila kwa mwaadilifu wala hakuna shida wizarani.
Sasa, Waziri mpya mfano akikuta mirija ya tender na mikataba ya Waziri aliyehamishwa atafanyaje?
Kama kuna dalili ya kutokuwepo uzalendo hapo awali atanyamaza?
Je, mawaziri hawa watawasiliana kidili na kipigaji ili wote kufaidi asali?
Hakutaibuka uadui miongoni mwao wasipokubaliana masuala kadhaa?
Yaani dogo aliingia pale kufanikisha dili za hewa baridi ule mradi wa trillioni Mia kidogoKwa akili ya kawaida unaona Dotto anaweza kuingilia madili ya upigaji ya Makamba?
Mama mwenyewe kashikwa pabaya na hawa watoto wa wenye CCM yao. nape, Makamba, rizone. hawa in untouchable kama makonda na Magu.
Huyoo Dotto ni kibaraka palee yeye mwenyewe haamini kapataje pataje hiyoo nafasi, ukiingia ndani zaidi utashangaa hao kina makamba ndo wamemchomeka kwenye hio nafasi kwa vimemo.
Basi nchi hii uozo mtupuYaani dogo aliingia pale kufanikisha dili za hewa baridi ule mradi wa trillioni Mia kidogo
Tumekwisha, huku February naye akiendelea na mirija japo yupo Wizara nyingineWala usiumize kichwa, wote hao lao ni mmoja. Hakuna atakachofanya zaidi ya yeye kujitengenezea mrija wake pembeni.
Kama ni hivyo hata majina matano na mgombea Urais CCM 2030 kila kitu kishapangwa.
Nakumbuka januari kuingia tu akaingia na wahindi tanesco kuweka mfumo wa software ya management wala hapakua na tenda imetolewa. Kwanza wapo watz wenye uwezo mkubwa tu. Akaja na madudu ya kuleta meter za kuingiza umeme ukilipia tu. Kuna madudu mengi tu hatuwezi kutaja yote. And then maharage wake akatosa wosia wa jpm kushudha bei ya umeme ili umma wasifaidike na uwekezaji mkubwa wa umma. Bila pia kujali umeme wa juu kupindukia ni kikwazo kwa wawekezaji. Yaani mapato yakiongezeka tanesco kutokana na kushuka gharama ya uzalishaji kwa chanzo cha hydro vigogo waweze kunufaika wao tu kwa mishahara na marupurupu manono na upigaji.Nauona mitihani mkubwa kwa waziri Dotto Biteko kuhusu Nishati.
Hii Wizara ina upigaji mwingi kwa watu wasio waadilifu ila kwa mwaadilifu wala hakuna shida wizarani.
Sasa, Waziri mpya mfano akikuta mirija ya tender na mikataba ya Waziri aliyehamishwa atafanyaje?
Kama kuna dalili ya kutokuwepo uzalendo hapo awali atanyamaza?
Je, mawaziri hawa watawasiliana kidili na kipigaji ili wote kufaidi asali?
Hakutaibuka uadui miongoni mwao wasipokubaliana masuala kadhaa?
Basi Kama Taifa tumekwisha maana kila kitu kinaamuliwa na watu wachacheNdio.
Na hapo uadui ndipo utaibuka Kati ya watoto wa Kiswahili na lake zoneNakumbuka januari kuingia tu akaingia na wahindi tanesco kuweka mfumo wa software ya management wala hapakua na tenda imetolewa. Kwanza wapo watz wenye uwezo mkubwa tu. Akaja na madudu ya kuleta meter za kuingiza umeme ukilipia tu. Kuna madudu mengi tu hatuwezi kutaja yote. And then maharage wake akatosa wosia wa jpm kushudha bei ya umeme ili umma wasifaidike na uwekezaji mkubwa wa umma. Bila pia kujali umeme wa juu kupindukia ni kikwazo kwa wawekezaji. Yaani mapato yakiongezeka tanesco kutokana na kushuka gharama ya uzalishaji kwa chanzo cha hydro vigogo waweze kunufaika wao tu kwa mishahara na marupurupu manono na upigaji.
Dr. Biteko ana mengi kurekebidha. Tunajenga uchumi wa wananchi sio uchumi wa vigogo wachache.
Waziri aliyetoka hapo kwa ile "kitu mbaya" ni hatari sana na ipo ktk damu!Sasa, Waziri mpya mfano akikuta mirija ya tender na mikataba ya Waziri aliyehamishwa atafanyaje?
Uzuri ni Kama Rais kashutukia mchezoWaziri aliyetoka hapo kwa ile "kitu mbaya" ni hatari sana na ipo ktk damu!
Biteko ukitaka heshima usimwangalie mtangulizi wako usoni wala usiangalie kule "chalinze", wewe vunja mikataba haramu yote1