MOORIINGEE
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 381
- 190
hahhaaa!! dont worry..! nna maziwa fresh kidum kizima, mihogo sufuria mbili, viazi vitamu nusu ndoo vilivyochemshwa na maji ya kunywa lita tano!!
huku hatuli chipsi bana...!! mambo ya kuishiwa nguvu za kiume za kuchungia, si' hakuna!
ujinga.. naomba kwanza nikushauri.. sijui kama utapenda ama vipi!
naomba ubadili id!
you as a friend of mine, your id describes you badly... even if you give a better comment, it will be described by your id!
hivi imagine mtu anaandika neno kama... ujinga tu! yani badala ya kuandika "ujinga tu" kikawaida, anaandika kwa kukumention wewe!!
nimekushauri kama rafiki!
Wengi kuliko pale soko la magogoni?...
Tena hadi nguva utapata mkuu...
ujinga.. naomba kwanza nikushauri.. sijui kama utapenda ama vipi!
naomba ubadili id!
you as a friend of mine, your id describes you badly... even if you give a better comment, it will be described by your id!
hivi imagine mtu anaandika neno kama... ujinga tu! yani badala ya kuandika "ujinga tu" kikawaida, anaandika kwa kukumention wewe!!
nimekushauri kama rafiki!
from ujinga hadi kumuenzi MOORIINGEE. Karibu mkuu ubarikiwe kwa ushauri wako
umeongea ukweli,,kuna watu id zao zinawaponza sana...hata wakifanya jambo la msingi
Kama nguva yupo mkuu ntakuja...
Goodmorning dear friend!
hahahaha! I'm so sorry for my belated reply! How are you doing there, dude?
Wishing you Goodevening!