Mitihani ya divisheni five

Mitihani ya divisheni five

hahhaaa!! dont worry..! nna maziwa fresh kidum kizima, mihogo sufuria mbili, viazi vitamu nusu ndoo vilivyochemshwa na maji ya kunywa lita tano!!

huku hatuli chipsi bana...!! mambo ya kuishiwa nguvu za kiume za kuchungia, si' hakuna!

viazi vitamu huwa vitakatwa katwa kuwa clips harafu unaanika juu ya paa la nyasi.........vikikauka unachukua unaweka mfukoni unakula taratibu siku inaisha.................. ndoa haiwezi kuvunjika hapo
 
ujinga.. naomba kwanza nikushauri.. sijui kama utapenda ama vipi!

naomba ubadili id!

you as a friend of mine, your id describes you badly... even if you give a better comment, it will be described by your id!

hivi imagine mtu anaandika neno kama... ujinga tu! yani badala ya kuandika "ujinga tu" kikawaida, anaandika kwa kukumention wewe!!

nimekushauri kama rafiki!

from ujinga hadi kumuenzi MOORIINGEE. Karibu mkuu ubarikiwe kwa ushauri wako
 
ujinga.. naomba kwanza nikushauri.. sijui kama utapenda ama vipi!

naomba ubadili id!

you as a friend of mine, your id describes you badly... even if you give a better comment, it will be described by your id!

hivi imagine mtu anaandika neno kama... ujinga tu! yani badala ya kuandika "ujinga tu" kikawaida, anaandika kwa kukumention wewe!!

nimekushauri kama rafiki!

umeongea ukweli,,kuna watu id zao zinawaponza sana...hata wakifanya jambo la msingi
 
Hii Mitihani Iringa Tutaandamana Haita Fika Hata Kwa Amri Ya Pinda Ya WAPIGWE TU!
 
ninaomba msaada wa swali la 8 limeniona kwa kweli......

8. Kwa kuwatumia wasanii wa Bongofleva kama Diamond na wa mtoni kama Chriss Brown elezea maana ya neno SWAGA.
 
hahahaha! I'm so sorry for my belated reply! How are you doing there, dude?
Wishing you Goodevening!

485738_177694975681924_1666994105_n.jpg
 
looo hiyo picha inaonekana ya longi balaaaa Excel
 
Back
Top Bottom