Mitihani ya divisheni five

Mitihani ya divisheni five

Spartakas

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
86
Reaction score
95
ITAFIKA STAGE MITIHANI ITAKUWA HIVI....!!!

WATOTO WA KISHUA SECONDARY SCHOOL
S.L.P 7677, MASAKI.

MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA.

MAELEKEZO.

i. Jibu maswali yote.

ii. Kila swali linabeba maksi kumi

iii. Zingatia mpangilio wa kazi.

iv. Unaruhusiwa kutumia BLOGS na MAGAZETI YA UDAKU

iv. SWALI LA TISA NI LAZIMA KUJIBU.

MUDA; Masaa matatu.

SECTION A.

1. Kwa kutumia mifano hai, elezea chanzo cha Kim Kadarshian kugombana na Kanye west.

2. Taja tofauti kuu nne kati ya MLIMANI CITY na QUALITY CENTER.

3. Kwa kutumia maeneo ya samakisamaki, Coco beach, Steers, na Kunduchi beach resort elezea maana ya neno BATA.

4. Mapenzi hujengwa kati ya msichana na mvulana. Je Vipini masikioni, Kuvaa mlegezo, mwanaume kusuka na kujipaka carolight vinachangia vipi kufanya penzi lichanue? Fafanua!! Tumia mifano hai ya maboyfriend wa watoto wa kishua

5. Kwa kutumia tamthilia za MARA CLARA na zile nyingine za PROMISE na TIMELESS elezea nafasi ya mwanamke katika jamii.

SECTION B

6. Elezea sababu kuu tano za WEMA na Diamond kugombana!! Na kisha elezea mapinduzi yaliyofanywa na Jokate Mwegelo. Na je kwa nini hawakudumu

7. Inasemekana kuwa Chipsi mayai ni mojawapo ya chakula kinachowachanganya wasichana wengi na mwisho kujikuta wametoa penzi. Kwa kutumia maeneo ya Masaki na Mikocheni elezea Baga na Pizza zinavyosababisha tatizo hili.

8. Kwa kuwatumia wasanii wa Bongofleva kama Diamond na wa mtoni kama Chriss Brown elezea maana ya neno SWAGA.

9. Watoto wengi wa kishua hukimbilia kutafuta mademu wa uswazi wakidai kuwa wasichana wa geti kali hawajui lolote kitandani. Elezea kiufasaha ukitumia mifano hai kwanini wasichana wa kishua ni bomu kitandani.

10. Kwa kutumia mifano hai ya PLAYSTATION elezea ni ipi ngumu sana kucheza kati ya PS 2 na PS 3…..

NAWATAKIA MTIHANI MWEMA!!!
 
Hahahahaaaa,kwa hapo kungekuwa na dv 1 ya point saba nyingi na kufeli kwake kungeishia dv2
 
bado nipo usingizini, nikiamka nikumbushe nicomment
 
kwa style hii,kazi ipo, ila tutafika tu hata km tutakuwa tumechoka sana.
 
hahaha...alafu wakitoka kwenye paper watasema mtihani mgumu????..
 
wamjini lazima wafaulu..tatizo lipo kwa kijijini ambapo vitu hivyo havipo...sijui watawafikiliaje.au watatoa mtihani kulingana na madhali?
 
Hivi uko samakisamaki kukoje?...
 
hahaha...alafu wakitoka kwenye paper watasema mtihani mgumu????..

Na akifika hom anaambiwa pole mwananguee... basi kula hii ice cream ya strawberry baadae nitakuletea ya vanilla. .
 
wamjini lazima wafaulu..tatizo lipo kwa kijijini ambapo vitu hivyo havipo...sijui watawafikiliaje.au watatoa mtihani kulingana na madhali?

Lakini heading inajieleza.
 
goodmorning brother................nimebaki sina mbavu na huu mtihani kabla sijaanza kujibu
ujinga.. naomba kwanza nikushauri.. sijui kama utapenda ama vipi!

naomba ubadili id!

you as a friend of mine, your id describes you badly... even if you give a better comment, it will be described by your id!

hivi imagine mtu anaandika neno kama... ujinga tu! yani badala ya kuandika "ujinga tu" kikawaida, anaandika kwa kukumention wewe!!

nimekushauri kama rafiki!
 
Last edited by a moderator:
Weka picha


524126_343766982401500_603656680_n.jpg
 
Back
Top Bottom