CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Mh... Bujibuji inategemea na dress code ya ofisi husika. Mf. sisi tuna official dress code kabisa na zimeelekezwa kwa njia ya picha. Kitenge huvaliwa siku ya ijumaa make hapo kila mtu analipuka kivyake maadamu nguo iwe ya heshima.
Kuna NGO flan jirani yetu, wao hawana official dress code. Kwa wadada huwa wanatupia hadi vipedo na wakaka jeans hata katikati ya week.
Ila kwa sisi ofisin kwetu jumatatu mpaka alhamisi inatakiwa utupie kisawasawa kama hivi

Last edited by a moderator: