CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
sasa sina hata mtoto wa kusingiziwa kwanini nivae mavazi ya wazazi?? ila we lete tutakuunga vya kuendea kwenye chicken pati na kanisani lo
Mmenikumbusha juzi kati nilikutana na mdada kwenye mgahawa fulani wa hospitali, baadae nikamkuta wodini kavaa joo la doctor...nikashangaa kwani sikuona kama ana personality ya kuwa doctor;...baadae nkajiuliza kwa nini sikuweza kudhania kuwa huyu dada ni doctor...jibu nilopata ni kuwa alikuwa amevaa kitenge....tena cha heshima kweli kweli na yeye bado ni kabinti...sasa ilimfanya aonekane poa sana to be a doctor; (kama mshamba fulani hivi). Lol....kweli vitenge si vazi la ofisi unless ushone kiofisi ofisi.
Hapo sasa hata kwa fimbo huniveshi vitenge kazini lol
Hahahahaha! Anamiliki puto siyo? Alitoe wapi dogo mtaalam wa kupiga puli yule.:becky::becky:Mpwa huyo raia kanitibua kule imebidi niingie vita ya msituni...
Puto ni mwanamama kabati au sanamu ya Michellin, kavimbaaa anasubiri kupasuliwa tu.
Njoo unione miye sekretari wa waziri Mkuu nikiwa maeneo yangu na kitenge au kwao Tamisemi ndo nguo hizoo
ila kuna designs ambazo ni combo...kitenge unachanganya na fabrics nyingine inatoka poa sana...
Ila kuna designs ambazo ni combo...kitenge unachanganya na fabrics nyingine inatoka poa sana...
Ila kuna designs ambazo ni combo...kitenge unachanganya na fabrics nyingine inatoka poa sana...
njoo nikupe muchina ikuze shost mjini hapa na unavyopenda kuhongwa usije kufa na njaa bureeeeee
mueleze mueleze baba kitenge uchukue mishono ya kidhungu nguo za mwenge au makumbusho utakitaka...
Ciello shost white party navaa kitenge whiteeeeee