Mitindo mbalimbali ya vitenge

We we we bujibuji, ningekuwa sina mguu wala nisingeisifia hiyo nguo

ram, miguu unayo? au ndio uko kwenye harakati za kutufanya tucheke kisha uanze kuturushia mawe?
 
Last edited by a moderator:
hahahahah utatishajeeeee lol na siji kwa hiyo pati yenu kwasababu yako

aaaa wapi mi hata gunia nikivaa natokelezea....
Eti huji we hata ingefanyika mtaani kwenu usingekuja unavyopenda kujificha nby the way nimesikia umefungua id mpya kwa ajili ya white party....
Ila mi ntakujua tu
umuulize mamduchu wako snowhite ntakavyotokelezea na whiteeeeee kitenge
 
Last edited by a moderator:
Hahaha mimi ni artist hivyo mambo ya mavazi huwa najua tastes zake pia, especially hizi za African designs....
Ukichanganya fabrics na rangi maridhawa utakipenda kitenge...

basi nibunie nguo ya eneo la tukio kitenge whiteeee
 
Kitenge + Umri = Uzeee
Pia inategemea na umbile lako
Kama uko kipotabo ukipiga kitengee uzee hauna nafasi
Wana Beijing hongela ziwafikieni kokote mlipo
 
Issue za red nakuachia mwenyewe

Kuhusu mahali pa kazi kumbuka kuna kwenda kazini na kwenda ofisini, mtu aliyejiari kwa kazi ya kukusanya chupa za plastic kwa mfano, hawezi kuaga anakwenda ofisini, au nakosea jamani?
 
Hahaha mimi ni artist hivyo mambo ya mavazi huwa najua tastes zake pia, especially hizi za African designs....
Ukichanganya fabrics na rangi maridhawa utakipenda kitenge...
umeona kitenge chini au juu kidogo na kitu satini au silk ile mikato ya kidadaduu.
Wakina Ciello watabaki kuulizaa umenunua wapi hiyo nguo..
Kumbe locally made na fundi shaban
basi nibunie nguo ya eneo la tukio kitenge whiteeee
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah huna lolote wa kupendeza utakuwa wewe bana!!!!

Nifungue id mpya ya nini mie nikija utanijua tu kwani lazima kila mtu kwenye pati ageuke nikifika eneo la tukio
mamduchu anajua lishape lako libaya ila anakudanganya tu kukupa moyo hahahahah
 
Hao wanawake "shapeless" kabisa. Nimejaribu kuchagua sijaona hata mmoja. Wengine hapo weusi tiiiii kama mkaa.
 
jamani jamani Ciello una wivu hivyo mhhh we mi namba 9 ya ukweliiiiiiii.
 
Last edited by a moderator:
Hao wanawake "shapeless" kabisa. Nimejaribu kuchagua sijaona hata mmoja. Wengine hapo weusi tiiiii kama mkaa.

sasa na wewe umecomment nini??
Kama huna hoja kaa kimya soma michango ya wenzako..
This is your private business haituhusu...
Hakuna nlichojifunza kutoka kwako..
Pumbafuuuuuuu
 
Lara ua something else LOL
 
kaa kimya soma michango ya wengine
 
mie mbona navaaga...but lazima design iwe ya kiofisiofisi!
 
sasa na wewe umecomment nini??
Kama huna hoja kaa kimya soma michango ya wenzako..
This is your private business haituhusu...
Hakuna nlichojifunza kutoka kwako..
Pumbafuuuuuuu
kaa kimya soma michango ya wengine

Naona umetumia silaha ile ile kumchapa Mwanamalundi...
 
Hahahah nimekuelewa mkubwa juu afu chini mdogooo hahahah shape ya kabati inaitwa
jamani jamani Ciello una wivu hivyo mhhh we mi namba 9 ya ukweliiiiiiii.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…