Ukiniuliza kwa nini muziki wa reggae hauna vibe siku hizi jibu ni moja tu,dunia ya sasahivi hakuna ukoloni wala ubahuzi wa rangi.
Aina hiyo ya muziki ilikuwa kwa ajili ya ukombozi,sasa kama hakuna ubaguzi wala ukoloni unamuimbia nani.
Hawa niliowataja ingekuwakipindi cha kudai uhuru wangetufaa sana kuwafokea wakoloni,lakini kwa sasa dunia hatuwahitaji,unanifokeajemtanzania mwenzio,nchi sio ya baba yako hii,hii ni nchi yetu sote,big up kwaJakaya Kikwetena Freeman Mvowe miamba ya siasa nchini,hata ukiwatukana wao wanakuchekea tu na mkikutana anakupa mkono kukusalimia,hao ndio watoto wa mjini,wanaojua siasa za kizazi kipya,hawaboi hawapoi.
TAL,Makonda na JPM followers something to learn here.
Hizo sio siasabali harakati na mwisho wa wanaharakati huwa mbaya.
Nko na peter msechu studio tunarekodi wimbo