Mitindo ya uongozi ya Hayati Magufuli, Makonda na Lissu imepitwa na wakati na ni hatari kwa maisha

Msiache kionjo cha Ben Sanane kwenye kila ubeti
 
Umeandika takataka
 
Nchi kama Tanzania inahitaji aina hiyo ya uongozi kupunguza ufisadi
Hiyo style ni very risky kwa wahuni wa nchii walivyo wakatili watakumaliza,tukia kula maisha utaacha watoto na mkeo wajuni watamuoa kabla hujaoza kaburini
 
Iwe roots ,ragga,sweet,whatever,reggae haina vibe siku hizi
Usiseme reggae haina vibe siku hizi, sema reggae haina vibe kwako siku hizi.

Mimi naenda concert ya Beres Hammond, sold out concert.

Hao watu tulionunua tiketi hatukubaliani na kauli yako.
 
Nchi kama Tanzania inahitaji aina hiyo ya uongozi kupunguza ufisadi
Hiyo style ni very risky kwa wahuni wa nchii walivyo wakatili watakumaliza,tukia kula maisha utaacha watoto na mkeo wajuni watamuoa kabla hujaoza kaburini
 
Maybe wako so agressive lakin ndio style ambayo inahatijika kwa sasa ili kuivusha nchi mahali ilipo, else tutabali hapa hapa, na malaliko yale yale, miaka nenda rudi
 
Yani wewe unasikiliza muziki wa reggae ya kizamani halafu unalaumu muziki wa reggae hauna vibe siku hizi?

Unajua muziki wa reggae una sub genres zipi?
Hamjui yule mcanada martin na goma lake la rock me
 
Yani wewe unasikiliza muziki wa reggae ya kizamani halafu unalaumu muziki wa reggae hauna vibe siku hizi?

Unajua muziki wa reggae una sub genres zipi?
Ameanza hoja yake na mfano dhaifu sana. Tukiachana na ukweli kuwa huenda reggae haina vibe kwake binafsi, jambo lingine la kumkumbusha ni kuwa bado watu wengi wanahitaji ukombozi wa kifikra.
 
Wewe ndio umepitwa na wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…