Cassablanca
JF-Expert Member
- Jan 24, 2018
- 324
- 590
Habari wana JF!
Nafikiria kununua Mitsubish Challenger yenye 3490cc toleo la 1996-2000. Nimepitia kwenye internet na kujuwa kuwa yatembea wastani wa km 7.1/L. Naomba kufahamu service yake huhitaji kiasi gani na gharama za spea zake zikoje hasa ukilinganisha na gari kama Subaru forester au Nissan X-trail.
Natanguliza shukurani.