Mitsubish Challenger: Service na spea zake

Cassablanca

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
324
Reaction score
590
Habari wana JF!

Nafikiria kununua Mitsubish Challenger yenye 3490cc toleo la 1996-2000. Nimepitia kwenye internet na kujuwa kuwa yatembea wastani wa km 7.1/L. Naomba kufahamu service yake huhitaji kiasi gani na gharama za spea zake zikoje hasa ukilinganisha na gari kama Subaru forester au Nissan X-trail.

Natanguliza shukurani.
 
Asante kw swali.

Mitsubishi ni magari stadi sana kw muundo na pia barabarani. Cha kuzingatia zaidi ni service na spare ziwe za hali ya juu na original.
 
Back
Top Bottom