Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi, huyu jamaa atakuwa dalali, analazimisha mambo asiyokuwa na ufahamu nayo. Hakuna gari lolote duniani lenye cc 2800 na likawa na uwezo wa kubeba tani 2.5. Nimempa shule ya bure still, anaendelea kunikashifu. Ni canter yenye cc 3400 (4D32), 4210 (4D33), 4560 (4D35) na 3567 (4D36) zenye uwezo wa tani 2 tu. Sio hili limuhogo 4M40 ambalo analazimisha kuwa tani 2.5. Madalali ni matapeli tu.Yaani gari la tani 1.5 unaita tani 2.5? 4m40 cc2800 ubebe tani 2.5 kweli? Mmoja jana alipakia mbao nyingi sana kweny canter ya tani 1.5 kilichompata hata kaa asahau
Kiongozi, huyu jamaa atakuwa dalali, analazimisha mambo asiyokuwa na ufahamu nayo. Hakuna gari lolote duniani lenye cc 2800 na likawa na uwezo wa kubeba tani 2.5. Nimempa shule ya bure still, anaendelea kunikashifu. Ni canter yenye cc 3400 (4D32), 4210 (4D33), 4560 (4D35) na 3567 (4D36) zenye uwezo wa tani 2 tu. Sio hili limuhogo 4M40 ambalo analazimisha kuwa tani 2.5. Madalali ni matapeli tu.
Kaka ndio maana gari zetu hazidumu zina bebeshwa mizigo mizito sana kuliko uwezo wakeKiongozi, huyu jamaa atakuwa dalali, analazimisha mambo asiyokuwa na ufahamu nayo. Hakuna gari lolote duniani lenye cc 2800 na likawa na uwezo wa kubeba tani 2.5. Nimempa shule ya bure still, anaendelea kunikashifu. Ni canter yenye cc 3400 (4D32), 4210 (4D33), 4560 (4D35) na 3567 (4D36) zenye uwezo wa tani 2 tu. Sio hili limuhogo 4M40 ambalo analazimisha kuwa tani 2.5. Madalali ni matapeli tu.
Umemalizia kwa kusema madalali ni matapeli tu....sasa yupi anamkashifu mwenzie hapa?Kiongozi, huyu jamaa atakuwa dalali, analazimisha mambo asiyokuwa na ufahamu nayo. Hakuna gari lolote duniani lenye cc 2800 na likawa na uwezo wa kubeba tani 2.5. Nimempa shule ya bure still, anaendelea kunikashifu. Ni canter yenye cc 3400 (4D32), 4210 (4D33), 4560 (4D35) na 3567 (4D36) zenye uwezo wa tani 2 tu. Sio hili limuhogo 4M40 ambalo analazimisha kuwa tani 2.5. Madalali ni matapeli tu.
Gari bei kubwa sana Tena used na siyo mpya hiyo inafaa Tshs 10,000,000.00 na si vinginevyo. Huo ni mtumba wa Japan siyo mpya kama unavyosema milage zimeenda mbali sana. Watanzania gari ikitoka Japan hata kama ni mtumba wanasema ni mpya labda kwa vile inakuja mazingira mapya na siyo kwamba gari ni mpya.Mitsubishi Canter (EHP) Tani 2.5 Inauzwa TZS. 35m
.
Full AC
2830cc
Manual
Diesel
Gari ni mpyaaa
.
Bei: TZS. 35m
.
0717 650800
Wewe wacha nikuache tu....endelea kuexpose ujinga wakoGari bei kubwa sana Tena used na siyo mpya hiyo inafaa Tshs 10,000,000.00 na si vinginevyo. Huo ni mtumba wa Japan siyo mpya kama unavyosema milage zimeenda mbali sana. Watanzania gari ikitoka Japan hata kama ni mtumba wanasema ni mpya labda kwa vile inakuja mazingira mapya na siyo kwamba gari ni mpya.
Ukiikuta kwenye pajero,, utafurahi unavyo itikaHii engine ya diesel 2835 ni engine bora sana, inaitwa 4m40 inatumika pia kwenye pajero za kawaida za 1995 to 1998
Wajuaji wa JF wanasema hii engine kimeo....dah 😃Ukiikuta kwenye pajero,, utafurahi unavyo itika
Pajero inabeba tani 2.5??? Hakuna gari lolote la kazi (heavy duty truck) ya kuwa na Cc 2800! Haipo duniani!. Sikatai kuwa uenda ikawa engine nzuri kwa Pajero.Wajuaji wa JF wanasema hii engine kimeo....dah 😃
Nikiwauliza kivipi wanakimbia mbio nyingi....yani mtu kunyamaza apite kimya kimya hawezi...ili mradi tu akuharibie
4m40 engine nzuri sana ukiipa matunzoWajuaji wa JF wanasema hii engine kimeo....dah 😃
Nikiwauliza kivipi wanakimbia mbio nyingi....yani mtu kunyamaza apite kimya kimya hawezi...ili mradi tu akuharibie
Very funny....Kwahyo inakuwa engine nzuri kwenye Pajero then kwenye canter inakuwa mbovu sio?Pajero inabeba tani 2.5??? Hakuna gari lolote la kazi (heavy duty truck) ya kuwa na Cc 2800! Haipo duniani!. Sikatai kuwa uenda ikawa engine nzuri kwa Pajero.
Maswali yako ya kipuuzi kama dogo wa darasa la 3 C.Very funny....Kwahyo inakuwa engine nzuri kwenye Pajero then kwenye canter inakuwa mbovu sio?
.
Swali la 1.
Unasema cc2800 ni ndogo kubeba 2.5T....hebu niambie Harrier ya cc3000 inaweza kubeba 1.5T unayosema ndio maximum ya hii canter?....kama kigezo ni Cc naomba nijibu khs Harrier kubeba 1.5T...Inaweza?
.
Swali la 2.
Kisha uje unijibu Suzuki Carry (Kirikuu) ina 650cc....ina uwezo wa kubeba uzito gani?
Huu Ugomvi haukuhusu mzee....muache niliyemuuliza aje anijibuMaswali yako ya kipuuzi kama dogo wa darasa la 3 C.
Kiriku mtengenezaji kaandika robo tani yaani kilo 250 lakin humu mnaongeza spring inakula hadi kg 800 na ndio hapo miaka miwili gari haitamanikiVery funny....Kwahyo inakuwa engine nzuri kwenye Pajero then kwenye canter inakuwa mbovu sio?
.
Swali la 1.
Unasema cc2800 ni ndogo kubeba 2.5T....hebu niambie Harrier ya cc3000 inaweza kubeba 1.5T unayosema ndio maximum ya hii canter?....kama kigezo ni Cc naomba nijibu khs Harrier kubeba 1.5T...Inaweza?
.
Swali la 2.
Kisha uje unijibu Suzuki Carry (Kirikuu) ina 650cc....ina uwezo wa kubeba uzito gani?
Na hayo maswali mengine je? Au ndio hayakuhusu atakuja kujibu mwenyewe niliyemuuliza au sio? 😃Kiriku mtengenezaji kaandika robo tani yaani kilo 250 lakin humu mnaongeza spring inakula hadi kg 800 na ndio hapo miaka miwili gari haitamaniki
Passo ina 990cc inaweza kubeba huo uzito uliousema ambao kirikuu ya 650cc inabeba?....ninachotaka kuwaonyesha hapa ni kwamba... Cc pekeake sio kigezo pekee cha kutumiaKiriku mtengenezaji kaandika robo tani yaani kilo 250 lakin humu mnaongeza spring inakula hadi kg 800 na ndio hapo miaka miwili gari haitamaniki
Isue kwenye gari za mizigo ni gear box na differential (diff) 4m40 ikiwa kwenye pajero difu yake ni ndogo na gearbox ni ndogo ikibeba sana ni tani 1,,ila kwenye canter diff ni kubwa na gearbox ni kubwa ila kubeba tani 2.5 hapana,,Passo ina 990cc inaweza kubeba huo uzito uliousema ambao kirikuu ya 650cc inabeba?....ninachotaka kuwaonyesha hapa ni kwamba... Cc pekeake sio kigezo pekee cha kutumia
Mbona kwenye kadi imeficha jina la mmilikiMitsubishi Canter (EHP) Tani 2.5 Inauzwa TZS. 35m
.
Full AC
2830cc
Manual
Diesel
Gari ni mpyaaa
.
Bei: TZS. 35m
.
0717 650800
ufafanuzi mzuri kabisa mkuu....nakubaliana na weweIsue kwenye gari za mizigo ni gear box na differential (diff) 4m40 ikiwa kwenye pajero difu yake ni ndogo na gearbox ni ndogo ikibeba sana ni tani 1,,ila kwenye canter diff ni kubwa na gearbox ni kubwa ila kubeba tani 2.5 hapana,,
Isue kwenye gari za mizigo ni gear box na differential (diff) 4m40 ikiwa kwenye pajero difu yake ni ndogo na gearbox ni ndogo ikibeba sana ni tani 1,,ila kwenye canter diff ni kubwa na gearbox ni kubwa ila kubeba tani 2.5 hapana,,Passo ina 990cc inaweza kubeba huo uzito uliousema ambao kirikuu ya 650cc inabeba?....ninachotaka kuwaonyesha hapa ni kwamba... Cc pekeake sio kigezo pekee cha kutumia
The same na 1hz ikiwa kwenye land cruiser mkonga nadhani inaweza kunyanyuka na tani mbili,, ila engine hiyo hiyo ikiwa kwenye Costa inabeba zaidi kwa sababu difu na gear box ni kubwa kwenye Costa compare na land cruiserufafanuzi mzuri kabisa mkuu....nakubaliana na wewe