- Thread starter
- #41
Sahihi kabisa mkuuIsue kwenye gari za mizigo ni gear box na differential (diff) 4m40 ikiwa kwenye pajero difu yake ni ndogo na gearbox ni ndogo ikibeba sana ni tani 1,,ila kwenye canter diff ni kubwa na gearbox ni kubwa ila kubeba tani 2.5 hapana,,
The same na 1hz ikiwa kwenye land cruiser mkonga nadhani inaweza kunyanyuka na tani mbili,, ila engine hiyo hiyo ikiwa kwenye Costa inabeba zaidi kwa sababu difu na gear box ni kubwa kwenye Costa compare na land cruiser