Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

Gari nzuri zisizoongelewa sana na wabongo
Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana, ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa watanzania.

Gari hizi zinavitu vingi sana ambapo gari nyingine kama Toyota huwezi pata hasa ukilinganisha bei yake.

Mitsubishi outlander 2006 - 2015
1.Ni gari inakuja na charging system ya laptop, yaani unaweza kuchomeka switch sockate na ukaweka charger yako vizuri... Kwa kifupi
Gari hili linabadili umeme wa dc kwenda ac.
Kwa watu wanaopenda kutumia laptop wakiwa safari hii gari unaweza kutumia laptop toka Dar mpaka Mwanza, bila kuizima unafanya kazi tu au unaangalia series.

2.Gari hii inakuja na kifridge kidogo kuweka vivywaji uwapo safarini.

3.Gari hii ina option ya 4WD

4.Gari hii inakuambia muda wa kupumzika ukichoka safarini.

5. Gari hii inakuja na mziki mziti yaani subwoofer isiyojaza buti.

6.Gari inakuja na seat 7.

7.Gari hii ina option ya manual na automatic.

8. GARI hii ina gear 6, inaifanya itumie mafuta kidogo.

Hii gari bei yake ipo chini ya kina harrier, kulger na Vanguard. Kitu ambacho hivi vitu vyote vingekuwa kwenye hizo gari bei zake zisinge shikika.
Hii gari inaonekana nzuri kwa maelezo hayo.
 
Haswaa sema nini hii gari kama mizunguko yako ni town trip itakupasua wallet kiaina ila ni safi tu. Yote tisa kama una route ndefu aisee ni kama haili mafuta tembea uwezavyo mafuta yanayotumika ni kidogo mno.

Kingine hii gari ni nzito, kuna ile uko high way 120-130km/h unapishana na lorry mzigo umetulia tuli sasa kuna baadhi ya vyuma ukipishama na lorry uko speed lazima utayumba tu
I hope zile za engine size ya 2000 CC (20G) ulaji wake wa mafuta kwa mizunguko mjini sio mbaya sana? Nataka nijilipue na hiki chuma maana hakuna namna.
 
Hii machine nimeanza kuitamani, kwahiyo kwa makadilio hadi bongo itakuwa naipokea kwa bajeti ya 30-35 M kama wakina Harrier/Vanguard au sio?
 
Attachments

  • Screenshot_20230418-211153_Chrome.jpg
    Screenshot_20230418-211153_Chrome.jpg
    176.5 KB · Views: 91
Hii machine nimeanza kuitamani, kwahiyo kwa makadilio hadi bongo itakuwa naipokea kwa bajeti ya 30-35 M kama wakina Harrier/Vanguard au sio?
Sijajua unataka ya mwaka upi ila huo mzigo ulioweka mkubwa, roughly ikizidi sana 25M.
 
Gari nzuri zisizoongelewa sana na wabongo
Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana, ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa watanzania.

Gari hizi zinavitu vingi sana ambapo gari nyingine kama Toyota huwezi pata hasa ukilinganisha bei yake.

Mitsubishi outlander 2006 - 2015
1.Ni gari inakuja na charging system ya laptop, yaani unaweza kuchomeka switch sockate na ukaweka charger yako vizuri... Kwa kifupi
Gari hili linabadili umeme wa dc kwenda ac.
Kwa watu wanaopenda kutumia laptop wakiwa safari hii gari unaweza kutumia laptop toka Dar mpaka Mwanza, bila kuizima unafanya kazi tu au unaangalia series.

2.Gari hii inakuja na kifridge kidogo kuweka vivywaji uwapo safarini.

3.Gari hii ina option ya 4WD

4.Gari hii inakuambia muda wa kupumzika ukichoka safarini.

5. Gari hii inakuja na mziki mziti yaani subwoofer isiyojaza buti.

6.Gari inakuja na seat 7.

7.Gari hii ina option ya manual na automatic.

8. GARI hii ina gear 6, inaifanya itumie mafuta kidogo.

Hii gari bei yake ipo chini ya kina harrier, kulger na Vanguard. Kitu ambacho hivi vitu vyote vingekuwa kwenye hizo gari bei zake zisinge shikika.
Mitsubishi outlander ndio gari ya ndoto yangu kutoka Japan

Nikipata ya 2018 au 2022 itapendeza
 
Back
Top Bottom