Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

Hii gari inaonekana nzuri kwa maelezo hayo.
 
I hope zile za engine size ya 2000 CC (20G) ulaji wake wa mafuta kwa mizunguko mjini sio mbaya sana? Nataka nijilipue na hiki chuma maana hakuna namna.
 
Hii machine nimeanza kuitamani, kwahiyo kwa makadilio hadi bongo itakuwa naipokea kwa bajeti ya 30-35 M kama wakina Harrier/Vanguard au sio?
 

Attachments

  • Screenshot_20230418-211153_Chrome.jpg
    176.5 KB · Views: 91
Hii machine nimeanza kuitamani, kwahiyo kwa makadilio hadi bongo itakuwa naipokea kwa bajeti ya 30-35 M kama wakina Harrier/Vanguard au sio?
Sijajua unataka ya mwaka upi ila huo mzigo ulioweka mkubwa, roughly ikizidi sana 25M.
 
Mitsubishi outlander ndio gari ya ndoto yangu kutoka Japan

Nikipata ya 2018 au 2022 itapendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…