Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa Watanzania

Mistubish...
Ukiiona barabarani aidha imetoka garage au inaenda garage..
Ni hayo tu ...
Hahaha acha kuwaogopesha watu, hizi gari ziko vizuri sana. Nitawaletea Changamoto zake ambazo ni common, ila kwa kutumia kama hutaki kwenda garage kila mara kama toyota hizi ni gari ngumu mno. Tofauti kabisa na toyota.

Tujitahidi kuleta taarifa za uhakika kutoka kwa watumiaji. Ili watu wapate uelewa.

Comment moja inaweza muogopesha mtu. Wakati asingeogopa ange save pesa nyingi na akatumia gari nzuri.

Mfano ulikuwa na mpango wa kununua Vanguard ya 35M, ukaacha ukaenda nunua Outlander 19M hapo ume save pesa nyingi mno karibia 16M.

Spare za hizi gari bei yake fatilia ni kama Toyota tu, hizo Harrier, kurger na vanguad.

Tena kuna spare zipo chini zaidi ya hizo gari za Toyota.

Fuel consumption hii gari ipo vizuri.


Mfano hai mwingine

Oil ya Gearbox ya Outlander ambayo ni Mitsubishi CVT J1.
litre 4 unaipata kwa elfu 50,000 bei ya jumla makopo 6.

Au Tsh 120,000/= kwa bei ya mtumiaji.

Ukiweka oil hii utabadili baada ya
30,000km.

Mie nataka watanzania wafunguke wasikariri magari. Mwisho wa siku gari zote, Toyota, Honda, Mazda zitakuwa na bei sawa.

Na mafundi wetu watajifunza na kujua mengi.

All in all
Outlander is the best car ever
 
Nina imiliki tangu 2018 nikienda garage ni kwa ajili tu service za kawaida. Dar Arusha natumia full tank moja litre 60. Mziki wake kama nipo disco na haiyumbi barabarani pita njia yoyote ile kipindi cha mvua na jua hutojuta.
Sijutii kuinunua tena nilipata kwa dollar 2300 tu wakati ule. Sasa hv ni million 23 unayo mkononi
Safi sana, ushuhuda mzuri kimsingi wabongo tunanunua magari kwa kufuata mkumbo. Niliwahi kuandika humu kuwa zipo gari ngumu na nzuri wabongo tunazipuuza tunaamua kununua sare sare.
 
2022_Mitsubishi_Outlander_1.jpg
 
Hahaha acha kuwaogopesha watu, hizi gari ziko vizuri sana. Nitawaletea Changamoto zake ambazo ni common, ila kwa kitumia kama hutaki kwenda garage kila mara kama toyota hizi ni gari ngumu mno. Tofauti kabisa na toyota.
Tujitahidi kuleta taarifa za uhakika kutoka kwa watumiaji. Ili watu wapate uelewa.

Comment moja inaweza mwogopesha mtu. Wakati asingeogopa ange save pesa nyingi na akatumia gari nzuri.

Mfano ulikuwa na mpango wa kununua Vanguard ya 35M, ukaacha ukaenda nunua Outlander 19M hapo ume save pesa nyingi mno karibia 16M.

Spare za hizi gari bei yake fatilia nikama Toyota tu, hizo Harrier, kurger na vanguad

Yena kuna spare zipo chini zaidi ya hizo gari za Toyota.


Fuel consumption hii gari ipo vizuri.


Mfano hai mwingine

Oil ya Gearbox ya Outlander ambayo ni Mitsubishi CVT J1.
litre 4 unaipata kwa elfu 50,000 bei ya jumla makopo 6.

Au Tsh 120,000/= kwa bei ya mtumiaji.

Ukiweka oil hii utabadili baada ya
30,000km.

Mie nataka watanzania wafunguke wasikalili magari. Mwisho wa siku gari zote, Toyota, Honda, Mazda zitakuwa na bei sawa.


Na mafundi wetu watajifunza na kujua mengi.


All in all
Outlander is the best car ever
Hiyo vaguard ya M35 ni mwaka gani unalinganishia bei ya outlander? Chukua latest model ya vaguard ya huo mwaka then linganisha bei na outlander ya mwaka huo huo zikiwa mpya.
 
We jamaa acha uchawi.
Mimi nina Mitsubish na gereji hawanijui.
Zaidi ni service za kumwqga oil na service za tairi.
Ni gari ngumu mno.

Mitsubishi kwa gari ndogo wamechemka hasa hizi latest.
Pajero za zamani zilikua zinapambana na akina Land Cruiser na Nissan Patrol lakini hizi latest kuanzia mwaka 2004 na kuendelea zimekua nyanya kabisa
 
Tuache kudanganyana hakuna gari sio imara hapa duniani, kila gari nzuri inakutegemea na matumizi na kufata masharti ya gari husika wabongo tunadanganyana sana hata passo wapo watu wanatumia vizuri tu.

Nunua unachomudu kukifanyia service bila shida ya uwezo mfukoni kwa wakati na inavyotakiwa basi mengine ni maneno ya kutaka tu biashara zake ziende labda ana chimbo labda ya spare labda anataka yaongezeke mjini basi.
 
Kumbe na sisi wenye mawazo ya kuwa gari ya kuanzia maisha ni IST tuachane na hii narrow idea.
Kumbe acha nikaze walau 20M vipi naweza pata hiyo gari?
Unapata mkuu ukiwa fresh wacheki jamaa wa Autocom Japan wanabei nzuri. Mfano Mitsubishi Outlander ya 2010 ukiikuta Befoward bei inakuwa tofauti na Autocom kwa tofauti ya $ hata 800 au 1000 ni vile maraia wamekariri Befoward na kwingine
 
Unapata mkuu ukiwa fresh wacheki jamaa wa Autocom Japan wanabei nzuri. Mfano Mitsubishi Outlander ya 2010 ukiikuta Befoward bei inakuwa tofauti na Autocom kwa tofauti ya $ hata 800 au 1000 ni vile maraia wamekariri Befoward na kwingine
Shukrani mkuu
Tawacheki mwishoni mwa Nov waniletee hiyo chuma
 
tuache kudanganyana hakuna gari sio imara hapa duniani kila gari nzuri inakutegemea na matumizi na kufata masharti ya gari husika wabongo tunadanganyana sana hata passo wapo watu wanatumia vizuri tu nunua unachomudu kukifanyia service bila shida ya uwezo mfukoni kwa wakati na inavyotakiwa basi mengine ni maneno ya kutaka tu biashara zake ziende labda ana chimbo labda ya spare labda anataka yaongezeke mjini basi
Maneno mazuri ila mwishoni umepoteza point. Labda ungesema ya mwishoni tu ukafuta ya mwanzo
 
Back
Top Bottom