Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha acha kuwaogopesha watu, hizi gari ziko vizuri sana. Nitawaletea Changamoto zake ambazo ni common, ila kwa kutumia kama hutaki kwenda garage kila mara kama toyota hizi ni gari ngumu mno. Tofauti kabisa na toyota.Mistubish...
Ukiiona barabarani aidha imetoka garage au inaenda garage..
Ni hayo tu ...
Safi sana, ushuhuda mzuri kimsingi wabongo tunanunua magari kwa kufuata mkumbo. Niliwahi kuandika humu kuwa zipo gari ngumu na nzuri wabongo tunazipuuza tunaamua kununua sare sare.Nina imiliki tangu 2018 nikienda garage ni kwa ajili tu service za kawaida. Dar Arusha natumia full tank moja litre 60. Mziki wake kama nipo disco na haiyumbi barabarani pita njia yoyote ile kipindi cha mvua na jua hutojuta.
Sijutii kuinunua tena nilipata kwa dollar 2300 tu wakati ule. Sasa hv ni million 23 unayo mkononi
Hii nzuri sana imekuwa bimped kidogo..na nadhani ni ya mwaka 2009 na kuendelea.Mimi nataka hii Outlander yenye Shark FaceView attachment 2371657View attachment 2371658View attachment 2371656
Hiyo vaguard ya M35 ni mwaka gani unalinganishia bei ya outlander? Chukua latest model ya vaguard ya huo mwaka then linganisha bei na outlander ya mwaka huo huo zikiwa mpya.Hahaha acha kuwaogopesha watu, hizi gari ziko vizuri sana. Nitawaletea Changamoto zake ambazo ni common, ila kwa kitumia kama hutaki kwenda garage kila mara kama toyota hizi ni gari ngumu mno. Tofauti kabisa na toyota.
Tujitahidi kuleta taarifa za uhakika kutoka kwa watumiaji. Ili watu wapate uelewa.
Comment moja inaweza mwogopesha mtu. Wakati asingeogopa ange save pesa nyingi na akatumia gari nzuri.
Mfano ulikuwa na mpango wa kununua Vanguard ya 35M, ukaacha ukaenda nunua Outlander 19M hapo ume save pesa nyingi mno karibia 16M.
Spare za hizi gari bei yake fatilia nikama Toyota tu, hizo Harrier, kurger na vanguad
Yena kuna spare zipo chini zaidi ya hizo gari za Toyota.
Fuel consumption hii gari ipo vizuri.
Mfano hai mwingine
Oil ya Gearbox ya Outlander ambayo ni Mitsubishi CVT J1.
litre 4 unaipata kwa elfu 50,000 bei ya jumla makopo 6.
Au Tsh 120,000/= kwa bei ya mtumiaji.
Ukiweka oil hii utabadili baada ya
30,000km.
Mie nataka watanzania wafunguke wasikalili magari. Mwisho wa siku gari zote, Toyota, Honda, Mazda zitakuwa na bei sawa.
Na mafundi wetu watajifunza na kujua mengi.
All in all
Outlander is the best car ever
Point. Mitsubishi SUV Lazima uwe na back up!
Labda anazungumzia Mitsubishi lancer kama ni Outlander big noMnaongelea mitsubishi gani, outlander au nyingine?!
Sare sare Dah barabarani kama kuna wanafunzi wapo asembo (hahahaha joke ti)Safi sana, ushuhuda mzuri kimsingi wabongo tunanunua magari kwa kufuata mkumbo. Niliwahi kuandika humu kuwa zipo gari ngumu na nzuri wabongo tunazipuuza tunaamua kununua sare sare.
We jamaa acha uchawi.
Mimi nina Mitsubish na gereji hawanijui.
Zaidi ni service za kumwqga oil na service za tairi.
Ni gari ngumu mno.
Au inachemsha'zake..🤣🤣🤣Mistubish...
Ukiiona barabarani aidha imetoka garage au inaenda garage..
Ni hayo tu ...
Unapata mkuu ukiwa fresh wacheki jamaa wa Autocom Japan wanabei nzuri. Mfano Mitsubishi Outlander ya 2010 ukiikuta Befoward bei inakuwa tofauti na Autocom kwa tofauti ya $ hata 800 au 1000 ni vile maraia wamekariri Befoward na kwingineKumbe na sisi wenye mawazo ya kuwa gari ya kuanzia maisha ni IST tuachane na hii narrow idea.
Kumbe acha nikaze walau 20M vipi naweza pata hiyo gari?
Shukrani mkuuUnapata mkuu ukiwa fresh wacheki jamaa wa Autocom Japan wanabei nzuri. Mfano Mitsubishi Outlander ya 2010 ukiikuta Befoward bei inakuwa tofauti na Autocom kwa tofauti ya $ hata 800 au 1000 ni vile maraia wamekariri Befoward na kwingine
Maneno mazuri ila mwishoni umepoteza point. Labda ungesema ya mwishoni tu ukafuta ya mwanzotuache kudanganyana hakuna gari sio imara hapa duniani kila gari nzuri inakutegemea na matumizi na kufata masharti ya gari husika wabongo tunadanganyana sana hata passo wapo watu wanatumia vizuri tu nunua unachomudu kukifanyia service bila shida ya uwezo mfukoni kwa wakati na inavyotakiwa basi mengine ni maneno ya kutaka tu biashara zake ziende labda ana chimbo labda ya spare labda anataka yaongezeke mjini basi