Mitsubishi Pajero Min Mpya Imetolewa Bandarini Kwa 8,000,000 tu

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,220
Imetembe 123,000, haijatembea Tanzania, imetolewa Bandarini wiki iliyopita, inauzwa haraka sanaa kwa muhitaji. Bei 8,000,000 kwa maelezo zaidi mpigie huyu 0754043280 mwenye gari.

Hapo juu inasomeka 800,000 NI 8000,000 Million tafadhali! Nimeshindwa kuiedit!
 
Attachments

  • IMG-20140710-WA0000.jpg
    IMG-20140710-WA0000.jpg
    28.3 KB · Views: 936
Nilikosea no Million 8 afu MTU serious unataka garu kwa laki 8? HHahahaaaaaa! Mnautani kweliii!
 
Inawezekana may be umeamua kujitolea nn...so unatoa sadaka kwa memba wa jf
 
Hahahahaaaa! So bora nitoe sadaka kanisani nibarikiwe Mara 10. Seriously sorry for the inconvenience
 
Hahahahaha....I knew before that it is a typing error and you mean 8 milions...sema basi nikasema nikuzingua. Anyway its a nice car hope wenye interest nayo na wenye uwezo watakucheki
 
Khaaa nineshaaa kuona thread tofauti na nilivyomzoea lara 1 humu jukwaani!
 
Last edited by a moderator:

mjini apa, kila mtu anajijua mwenyewe, si wengine tunaishia kumfahamu tu. subiri siku akwambie anauza kiwanja masaki.
 
Last edited by a moderator:
lara 1 why sell it, mbona gari ya ukweli sana.
automatiki au manyua?
 
Last edited by a moderator:
Imetembe 123,000, haijatembea Tanzania, imetolewa Bandarini wiki iliyopita, inauzwa haraka sanaa kwa muhitaji. Bei 8,000,000 kwa maelezo zaidi mpigie huyu 0754043280 mwenye gari.

Hapo juu inasomeka 800,000 NI 8000,000 Million tafadhali! Nimeshindwa kuiedit!
hizi details vipi? manual au auto, pm,pw, abs, cs,air bags, navigation,ac,picha zaidi
 
Piga hio namba utapata kila detai, ila ni automatic, sema hivo vingine mie sio mjumvi sanaa wa magari. Ukimpigia anakupa detail zote, na hata ukitaka kuiona unaiona poa tu!
 
ile laki 8 pale juu ni trick heading ama nini? Lara 1 huyu huyu ninaemfaham? Uko juu kuvuta wateja aiseee.
 
Back
Top Bottom