Hizo Km gari yeyote hata kama imetoka nje huwezi kuiita Mpya... sijawahi kuwa na akili au wazo la hiyo bei ni gari mpya kabisa na pia uwe muelewa wa kutofautisha vitu maana hapo umeongezea neno jipya katika thread yako unaposema New na Brand New ni vitu tofauti kabisa... kwenye mada yako umeandika Mpya(New) new haswa kiakili japo ndogo haiwezi vuka km laki pole sana.... Ukiamua kumuwekea mtu maneno au mawazo ambayo wewe mwenyewe umejiamulia kwa kumdhania mtu ndio awazavyo baada ya kuongea kitu fulani nakuomba ujiepushe.... sikia... Mtu apigapo Chafya usidhanie kuwa huyo ana ugua Mafua.... yawezekana ni Vumbi tu au hewa ya kemikali...