Andika vizuri hiyo fedha inasomeka laki nane
Inawezekana may be umeamua kujitolea nn...so unatoa sadaka kwa memba wa jfNilikosea no Million 8 afu MTU serious unataka garu kwa laki 8? HHahahaaaaaa! Mnautani kweliii!
Hahahahaha....I knew before that it is a typing error and you mean 8 milions...sema basi nikasema nikuzingua. Anyway its a nice car hope wenye interest nayo na wenye uwezo watakuchekiHahahahaaaa! So bora nitoe sadaka kanisani nibarikiwe Mara 10. Seriously sorry for the inconvenience
hizi details vipi? manual au auto, pm,pw, abs, cs,air bags, navigation,ac,picha zaidiImetembe 123,000, haijatembea Tanzania, imetolewa Bandarini wiki iliyopita, inauzwa haraka sanaa kwa muhitaji. Bei 8,000,000 kwa maelezo zaidi mpigie huyu 0754043280 mwenye gari.
Hapo juu inasomeka 800,000 NI 8000,000 Million tafadhali! Nimeshindwa kuiedit!
Piga hio namba utapata kila detai, ila ni automatic, sema hivo vingine mie sio mjumvi sanaa wa magari. Ukimpigia anakupa detail zote, na hata ukitaka kuiona unaiona poa tu!hizi details vipi? manual au auto, pm,pw, abs, cs,air bags, navigation,ac,picha zaidi
huyo ndiyo mchagga tena wa mjiniile laki 8 pale juu ni trick heading ama nini? Lara 1 huyu huyu ninaemfaham? Uko juu kuvuta wateja aiseee.