Mpya kibongo bongo, manake hapa bongo haijatembea! Ila hata kwa akili yako hio bei unaweza kupata BRAND NEW MODEL HIO NDANI YA KARASI TOKA KWA MANUFACTURER? Automatically bei ibaindicate ni used from Japan.Mpya imetembea km 123,000 mmmmh!
Mpya kibongo bongo, manake hapa bongo haijatembea! Ila hata kwa akili yako hio bei unaweza kupata BRAND NEW MODEL HIO NDANI YA KARASI TOKA KWA MANUFACTURER? Automatically bei ibaindicate ni used from Japan.
Hizo Km gari yeyote hata kama imetoka nje huwezi kuiita Mpya... sijawahi kuwa na akili au wazo la hiyo bei ni gari mpya kabisa na pia uwe muelewa wa kutofautisha vitu maana hapo umeongezea neno jipya katika thread yako unaposema New na Brand New ni vitu tofauti kabisa... kwenye mada yako umeandika Mpya(New) new haswa kiakili japo ndogo haiwezi vuka km laki pole sana.... Ukiamua kumuwekea mtu maneno au mawazo ambayo wewe mwenyewe umejiamulia kwa kumdhania mtu ndio awazavyo baada ya kuongea kitu fulani nakuomba ujiepushe.... sikia... Mtu apigapo Chafya usidhanie kuwa huyo ana ugua Mafua.... yawezekana ni Vumbi tu au hewa ya kemikali...

RISALA ZA KAZI GANI BWANA! Its a free country hujalazimishwa kununua wala hubembelezwi kununua! Nimesema nini sijasema it doesnt matter! La msingi gari inauzwa 8m, mwenye nayo atoe mpunga asie nayo achukue time! Mjini hapa!
Mmmmh naona unaikuza Pombe tu hapo maana hata Mnywa Gongo nae anaweza jisifia... Pombe haina Gharama za kuitwa Expensive... labda ungesemea kiasi fulani heroin au Cocaine ile pure kabisa au Madawa tofauti lakini sio Tusker Serengeti,wine VAT 68 n.k...Hahahaaaaaa! HANGOVER IS EXPENSIVE! We unaejielewa kelele nyingiiiii, mjini heshima pesa!