Mitsubishi RVR-e. Jaribio jingine la Mitsubishi kuingia kwenye soko la EV

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Mitsubishi ni moja ya waanzilishi wa Magari ya Umeme (EV) ambapo mwaka 2009 alitoa Mitsubishi i-MiEV.

Pamoja na kwamba mauzo hayakua ya kimapinduzi kama Nissan Leaf au Tesla, ila credits wacha apewe.

Mbali na i-MiEV, pia alitoa Minicab EV na Eclipse Cross EV. Hayo tuyaache.


Sasa, tuna RVR ya Umeme. Iko advanced, muonekano mzuri, iko fast, range nzuri, Bei nzuri (under $50k)!


Inakuja na model aina mbalimbali, ila kuu ni dual motors (AWD) na single motor (RWD), battery la 57 kWh litakupa range hadi 500 km kutegemea na model.

Ndani, Kuna screen ya inch 15 katikati na inch 9 kwa dereva.
 
Nipate tu hata RVR ya petrol kwanza🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…