Mitt Romney akalia kuti kavu GOP baada ya Usaliti, hata USA usaliti not allowed!

Romney anatokea jimbo lenye watu wenye msimamo wa kati, na anajua kwamba lazima awavutie ili aendelee kuwa Senator
Siyo kweli alisema wakati akitoa hotuba kwamba watu wa jimboni kwake wsmemtaka aungane na wenzake lakini imani yake ya dini imemfanya aendane nayo sababu ameaapa kusema ukweli
 
Duh! sasa hapo ni msaliti?
 
Nadhani impeachment ilifanyika kwenye congress(democrat ni majority) kilichokuwa kinafanyika jana senate(republican ni majority) ni conviction.
 
..Usaliti kwa Republican.

..Uzalendo kwa taifa lake.
Na pia hajasaliti "Principles" za Republican na wala Trump si miongoni mwa viongozi waandamizi wa Republican. Yaani mlitaka Trump afurahie?

Tofauti yetu na wao, Trump hajamwita Romney "Traitor" wala kitendo cha Romney siyo "Treasonous" ambako adhabu yake ni kifo. Sasa hapa utaona mateso aliyopata Tundu Lissu au vitisho anavyopewa Zitto haviwezi kutolewa kwa Romney!!

Msifananishe tui na Maziwe eti kwa kuwa tu vinafanana rangi.
 
..asante sana.

..Swali la kujiuliza ni kama kuna Senator ameshauri Mitt Romney auwawe.

..Au kiongozi wa Republicans ndani ya Senate ameshauri Mitt Romney anyang'anywe passport.
 
Mitt Romney ni republican Senator pekee aliyekuwa upande wa Democrats kutaka Raisi D.Trump awe ,, impeached”, sasa baada ya Seneti linaloongozwa na Republicans kukataa kumvua Uraisi D. Trump, wamemgeukia Mitt Romney na kutaka afukuzwe Uanachama GOP kwa Usaliti, ...

Hajatishiwa kuliwa kama Zitto alivyotishiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..hili neno usaliti linatumika vibaya.

..kuna siku litasababisha ccm waumizane wenyewe kwa wenyewe.
Sawasawa mkuu... Hapa kwetu watu wanachukulia ukipinga jambo wewe msaliti..kwenye kura hakuna usaliti..
 
..kweli.

..halafu sisi watu wazima tunaweza ku-survive / kuhimili hali hii.

..sasa hebu fikiria hatari iliyoko kwa vijana wetu ambao wanakua, wanashuhudia kinachoendelea, na kuamini kuwa ni sahihi.

..siasa za Tz zitakuwa na sura gani 15 or 20 years from now, ikiwa vijana wa chama tawala wanafundishwa kuwa tofauti za kisiasa/kimtizamo/kimawazo ni usaliti au uhaini?
 
..wewe ndiyo unajifanya huoni UZALENDO na MSIMAMO wa Senator Mitt Romney.

..hili ni somo zuri kwa wabunge wa CCM kwamba wakati mwingine waweke maslahi ya TAIFA mbele, na kusimamia UKWELI.
🙏🙏🙏ubarikiwe...Watu wanaogopa kusema ukweli sababu wataitwa wasaliti..
..kweli.

..halafu sisi watu wazima tunaweza ku-survive / kuhimili hali hii.

..sasa hebu fikiria hatari iliyoko kwa vijana wetu ambao wanakua, wanashuhudia kinachoendelea, na kuamini kuwa ni sahihi.

..siasa za Tz zitakuwa na sura gani 15 or 20 years from now, ikiwa vijana wa chama tawala wanafundishwa kuwa tofauti za kisiasa/kimtizamo/kimawazo ni usaliti au uhaini?
Ni hatari sana....sijui watafika wapi.
 
Back
Top Bottom