Siyo kweli alisema wakati akitoa hotuba kwamba watu wa jimboni kwake wsmemtaka aungane na wenzake lakini imani yake ya dini imemfanya aendane nayo sababu ameaapa kusema ukweliRomney anatokea jimbo lenye watu wenye msimamo wa kati, na anajua kwamba lazima awavutie ili aendelee kuwa Senator
Duh! sasa hapo ni msaliti?Siyo kweli alisema wakati akitoa hotuba kwamba watu wa jimboni kwake wsmemtaka aungane na wenzake lakini imani yake ya dini imemfanya aendane nayo sababu ameaapa kusema ukweli
Achana naye huyo unapoteza muda wakoNimepotosha wapi? Soma hiyo tweet ya D.Trump Jr.
Wenzake wanamuita msaliti na ndiyo maana wanataka afukuzwe chamaniDuh! sasa hapo ni msaliti?
Eti we mjinga...kuita mtu mjinga, usiemjua, mtandaoni unaonyesha ulivyo duni............
Sawasawa......Usaliti kwa Republican.
..Uzalendo kwa taifa lake.
Hakika.HIVI UNAJUA TRUMP SIO MWENYEKITI WA CHAMA?
Duh! sasa hapo ni msaliti?
Na pia hajasaliti "Principles" za Republican na wala Trump si miongoni mwa viongozi waandamizi wa Republican. Yaani mlitaka Trump afurahie?..Usaliti kwa Republican.
..Uzalendo kwa taifa lake.
Nadhani impeachment ilifanyika kwenye congress(democrat ni majority) kilichokuwa kinafanyika jana senate(republican ni majority) ni conviction.
Na pia hajasaliti "Principles" za Republican na wala Trump si miongoni mwa viongozi waandamizi wa Republican. Yaani mlitaka Trump afurahie?
Tofauti yetu na wao, Trump hajamwita Romney "Traitor" wala kitendo cha Romney siyo "Treasonous" ambako adhabu yake ni kifo. Sasa hapa utaona mateso aliyopata Tundu Lissu au vitisho anavyopewa Zitto haviwezi kutolewa kwa Romney!!
Msifananishe tui na Maziwe eti kwa kuwa tu vinafanana rangi.
Hajatishiwa kuliwa kama Zitto alivyotishiwa.Mitt Romney ni republican Senator pekee aliyekuwa upande wa Democrats kutaka Raisi D.Trump awe ,, impeached”, sasa baada ya Seneti linaloongozwa na Republicans kukataa kumvua Uraisi D. Trump, wamemgeukia Mitt Romney na kutaka afukuzwe Uanachama GOP kwa Usaliti, ...
Watajifanya hawaoni...Usaliti kwa Republican.
..Uzalendo kwa taifa lake.
Sawasawa mkuu... Hapa kwetu watu wanachukulia ukipinga jambo wewe msaliti..kwenye kura hakuna usaliti....hili neno usaliti linatumika vibaya.
..kuna siku litasababisha ccm waumizane wenyewe kwa wenyewe.
Sawasawa mkuu... Hapa kwetu watu wanachukulia ukipinga jambo wewe msaliti..kwenye kura hakuna usaliti..
🙏🙏🙏ubarikiwe...Watu wanaogopa kusema ukweli sababu wataitwa wasaliti....wewe ndiyo unajifanya huoni UZALENDO na MSIMAMO wa Senator Mitt Romney.
..hili ni somo zuri kwa wabunge wa CCM kwamba wakati mwingine waweke maslahi ya TAIFA mbele, na kusimamia UKWELI.
Ni hatari sana....sijui watafika wapi...kweli.
..halafu sisi watu wazima tunaweza ku-survive / kuhimili hali hii.
..sasa hebu fikiria hatari iliyoko kwa vijana wetu ambao wanakua, wanashuhudia kinachoendelea, na kuamini kuwa ni sahihi.
..siasa za Tz zitakuwa na sura gani 15 or 20 years from now, ikiwa vijana wa chama tawala wanafundishwa kuwa tofauti za kisiasa/kimtizamo/kimawazo ni usaliti au uhaini?