Mitt Romney akalia kuti kavu GOP baada ya Usaliti, hata USA usaliti not allowed!

Aisee...
 
If or when he runs as an independent the GOP will be caught sans pants!
 
Nadhani neno USALITI na matumizi yake ndo kinachotusumbua.Sisi neno usaliti limejumuisha kila kitu kuanzia biashara, siasa hadi mapenzi wakati kwenye kingereza kidogo hili neno lina maneno tofauti tofauti kulingana na matumizi au mazingira.Kwaiyo mimi naona alichofanya Romney ni betrayal nasio treason na hilo sio kosa.na pia hiyo inaonyesha ni jinsi gani wenzetu wanavyojitahidi kua huru kwenye maamuzi binafsi tofauti na uku kwetu ambako maamuzi ya chama au mawazo na maamuzi ya kiongozi niyakuitikia tu.
 
amesimama katika alichokiamini kwa maslahi ya taifa lake na si chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…