Mitume hawakuvaa kanzu au kufuga ndevu kwa sababu ya Uislamu

Vipo vingi tu.

Mfano,

1.kwa sababu ya hali ya jangwa eneo la mashariki ha kati,ilipelekea ibada kufanyika pasi na kukaa kwenye viti maana miti hakuna,Leo muislamu wa Iringa kwenye mbao na miti ya kutosha nae anaga desturi ya waarabuna Wayahudi ya kuswali na kukaa chini kwenye mkeka,wakati miti ya kutengeneza viti ipo kibao.

2. Muislamu wa tandahimba kujifanya anashindwa ndani ya msikiti badala akafanye kazi,eti kukaa msikitini kutwa kucha ni thawabu. Wenzao Arabuni kwa sababu ya joto kuwa Kali(jangwa) wakajikuta wanapojenga misikiti na masinagogi wanashinda humo ndani kupoza joto. Huku kwetu utamaduni wa kiislamu na ni thawabu!!

3. Mtu akizikwa kaburi kumwagiwa maji.

Nchi za kiarabu na mashariki ya kati kwa sababu ya kuwa jangwa,mtu akizikwa ilikuwa lazima kaburi lomwagiwe maji na kuweka jiwe (Shahid) ili tuta liendelee kuwepo maana usipofanya hivyo baada ya masaa kadhaa upepo unakuja na kufuta kabisa hilo eneo kiasi kwamba mtu usijue kama hapa palikuwa na kaburi. Sisi wamakonde wa kidongo chekundu kule Newala tumeiga eti mtu akizikwa tunamwagia maji kaburi,maji ya baraka sijui mnaita.

3. Tende zinaota na kumea kwenye hali ya jangwa na ni vhakula Chao kikubwa sana( kama utamaduni) ila sisi wa mwananyamala yunafanya kama chakula cha kutoka kwa Mungu( tunakipa thamani kuliko korosho na mabibo ya kule mtwara) . Subiri wiki ijayo mfungo uanze uone zinavyopanda thamani na kuenziwa.

4. Eti muislamu wa makete nae anavaa kiremba kikubwa kichwani kisa utamaduni wa kiislamu,wakati enzi hizo ilikuwa unavaa kiremba kwa ajili ya kujikinga na jua Kali la utosi na joto Kali.

5. Ukiingia kwa muislamu kindakindaki,ndani kwake hakuna masofa Wala viti. Kisa? Uislamu sijui bla bla..

Hoja ni kwamba uarabuni hakuna miti walishindwa kutengeneza viti na masofa ndiyo maana wanakaa chini kwenye mikeka. Wewe mbongo umebeba dini mpaka vitu visivyokuhusu.

Hapo hatujaongelea ishu ya kuvaa kanzu na makobazi.

Me naona waafrika ndiyo tumekuwa watu wa hovyo zaidi hapa Duniani kwa kuiga dini na utamaduni wa watu wa mashariki ya kati pasi na kujua vitu vingine sisi havituhusu. Yaani tumebeba Kila kitu.

Leo korosho ya mtwara tunaidharau Huku tunaithamini tende ya uarabuni,Nina uhakika uarabuni kungekuwa Njombe/Iringa,Leo parachichi tungeliona kama tunda takatifu!!

Africa.
Braza hii hoja pia nzuri sana... Naipigia lamination kabisa naitunza
 
Shida ni umejaa ujinga kwa kukariri maandiko...

Kwa hiyo hata kipindi cha uncivilization au primitiveness waafrika nao hawakunyoa nywele kwa sababu ya hayo maandiko?... Culture ya kutonyoa ilikuwa kwenye jamii nyingi, kwa sababu kubaki na nywele ilionekana ni jambo asilia (Natural). Na watu hawakuwa na ufahamu wa unyoaji nywele wa mara kwa mara mpaka civilization ilipokuja ndipo watu wakastarabika... Ndipo utanashati na unyoaji nywele ukaanza sehemu mbalimbali mpaka sasa
Unaona ulivyokuwa zezeta. Itakuwa babu zako ndiyo walikuwa hawajui kunyoa nywele. Unazungumzia Yesu halafu unachanganya mara Africa kuwa primitive.
Kuna sehemu ziliendelea Africa huyo Yesu hajazaliwa.
Unajaza server kwa kuleta ubishi wa kizezeta ulete uthibitisho watu walikuwa hawanyoi. Yaani kunyoa umeona ni teknolojia kubwa akili yako ilivyo ndogo.
 
Vipo vingi tu.

Mfano,

1.kwa sababu ya hali ya jangwa eneo la mashariki ha kati,ilipelekea ibada kufanyika pasi na kukaa kwenye viti maana miti hakuna,Leo muislamu wa Iringa kwenye mbao na miti ya kutosha nae anaga desturi ya waarabuna Wayahudi ya kuswali na kukaa chini kwenye mkeka,wakati miti ya kutengeneza viti ipo kibao.

2. Muislamu wa tandahimba kujifanya anashindwa ndani ya msikiti badala akafanye kazi,eti kukaa msikitini kutwa kucha ni thawabu. Wenzao Arabuni kwa sababu ya joto kuwa Kali(jangwa) wakajikuta wanapojenga misikiti na masinagogi wanashinda humo ndani kupoza joto. Huku kwetu utamaduni wa kiislamu na ni thawabu!!

3. Mtu akizikwa kaburi kumwagiwa maji.

Nchi za kiarabu na mashariki ya kati kwa sababu ya kuwa jangwa,mtu akizikwa ilikuwa lazima kaburi lomwagiwe maji na kuweka jiwe (Shahid) ili tuta liendelee kuwepo maana usipofanya hivyo baada ya masaa kadhaa upepo unakuja na kufuta kabisa hilo eneo kiasi kwamba mtu usijue kama hapa palikuwa na kaburi. Sisi wamakonde wa kidongo chekundu kule Newala tumeiga eti mtu akizikwa tunamwagia maji kaburi,maji ya baraka sijui mnaita.

3. Tende zinaota na kumea kwenye hali ya jangwa na ni vhakula Chao kikubwa sana( kama utamaduni) ila sisi wa mwananyamala yunafanya kama chakula cha kutoka kwa Mungu( tunakipa thamani kuliko korosho na mabibo ya kule mtwara) . Subiri wiki ijayo mfungo uanze uone zinavyopanda thamani na kuenziwa.

4. Eti muislamu wa makete nae anavaa kiremba kikubwa kichwani kisa utamaduni wa kiislamu,wakati enzi hizo ilikuwa unavaa kiremba kwa ajili ya kujikinga na jua Kali la utosi na joto Kali.

5. Ukiingia kwa muislamu kindakindaki,ndani kwake hakuna masofa Wala viti. Kisa? Uislamu sijui bla bla..

Hoja ni kwamba uarabuni hakuna miti walishindwa kutengeneza viti na masofa ndiyo maana wanakaa chini kwenye mikeka. Wewe mbongo umebeba dini mpaka vitu visivyokuhusu.

Hapo hatujaongelea ishu ya kuvaa kanzu na makobazi.

Me naona waafrika ndiyo tumekuwa watu wa hovyo zaidi hapa Duniani kwa kuiga dini na utamaduni wa watu wa mashariki ya kati pasi na kujua vitu vingine sisi havituhusu. Yaani tumebeba Kila kitu.

Leo korosho ya mtwara tunaidharau Huku tunaithamini tende ya uarabuni,Nina uhakika uarabuni kungekuwa Njombe/Iringa,Leo parachichi tungeliona kama tunda takatifu!!

Africa.
Umeongea Vizuri sana ila umeshindwa kuongea kwa pande zote Mbili..
Wote waislamu na wakristo wanafanya mambo ya ajabu tu..
 
Wagalatia wanajikuta wako smart na educated sana af kumbe hamna kitu, wanashindwa na vitu basic kabisa.

We mtu mzima anaamini kwenye ndevu za sheikh kuna majini 12, huo si ukichaa
Mimi ni Mgalatia na ndo mara ya kwanza kusikia kwako.
 
Shida ni umejaa ujinga kwa kukariri maandiko...

Kwa hiyo hata kipindi cha uncivilization au primitiveness waafrika nao hawakunyoa nywele kwa sababu ya hayo maandiko?... Culture ya kutonyoa ilikuwa kwenye jamii nyingi, kwa sababu kubaki na nywele ilionekana ni jambo asilia (Natural). Na watu hawakuwa na ufahamu wa unyoaji nywele wa mara kwa mara mpaka civilization ilipokuja ndipo watu wakastarabika... Ndipo utanashati na unyoaji nywele ukaanza sehemu mbalimbali mpaka sasa
Mbona hueleweki? We si umezungumzia technolojia?
 
Kanzu sio vazi la kiislam ni vazi la kiarabu
Uchi wa mwanaume ni kuanzia magotini mpk kitovuni...!!!baada ya hapo hauko uchi
Uchi wa mwanamke ni kila eneo isipokua uso na vitanga vya mkono,vazi lisiwe jepesi na lenye kuonesha maungo mengine na liswe na rangi za kuvutia

Muislam wa kume akivaa hvyo anafanya ibada,(angalia watu wanaoenda hijja)ndo mavazi ya kiislam yanapaswa kia vile brooo
 
Kanzu ni vazi la maeneo ya joto jangwani ambako nchi nyingi za kiarabu zipo ni.vazi kinaruhusu upepo kuingia na joto kuwa dogs

Sasa mtu unakuta katinga kanzu eneo lina baridi ajabu mpaka unamhurumia kuwa huyu kweli kichwani hazimo
 
Vipo vingi tu.

Mfano,

1.kwa sababu ya hali ya jangwa eneo la mashariki ha kati,ilipelekea ibada kufanyika pasi na kukaa kwenye viti maana miti hakuna,Leo muislamu wa Iringa kwenye mbao na miti ya kutosha nae anaga desturi ya waarabuna Wayahudi ya kuswali na kukaa chini kwenye mkeka,wakati miti ya kutengeneza viti ipo kibao.

2. Muislamu wa tandahimba kujifanya anashindwa ndani ya msikiti badala akafanye kazi,eti kukaa msikitini kutwa kucha ni thawabu. Wenzao Arabuni kwa sababu ya joto kuwa Kali(jangwa) wakajikuta wanapojenga misikiti na masinagogi wanashinda humo ndani kupoza joto. Huku kwetu utamaduni wa kiislamu na ni thawabu!!

3. Mtu akizikwa kaburi kumwagiwa maji.

Nchi za kiarabu na mashariki ya kati kwa sababu ya kuwa jangwa,mtu akizikwa ilikuwa lazima kaburi lomwagiwe maji na kuweka jiwe (Shahid) ili tuta liendelee kuwepo maana usipofanya hivyo baada ya masaa kadhaa upepo unakuja na kufuta kabisa hilo eneo kiasi kwamba mtu usijue kama hapa palikuwa na kaburi. Sisi wamakonde wa kidongo chekundu kule Newala tumeiga eti mtu akizikwa tunamwagia maji kaburi,maji ya baraka sijui mnaita.

3. Tende zinaota na kumea kwenye hali ya jangwa na ni vhakula Chao kikubwa sana( kama utamaduni) ila sisi wa mwananyamala yunafanya kama chakula cha kutoka kwa Mungu( tunakipa thamani kuliko korosho na mabibo ya kule mtwara) . Subiri wiki ijayo mfungo uanze uone zinavyopanda thamani na kuenziwa.

4. Eti muislamu wa makete nae anavaa kiremba kikubwa kichwani kisa utamaduni wa kiislamu,wakati enzi hizo ilikuwa unavaa kiremba kwa ajili ya kujikinga na jua Kali la utosi na joto Kali.

5. Ukiingia kwa muislamu kindakindaki,ndani kwake hakuna masofa Wala viti. Kisa? Uislamu sijui bla bla..

Hoja ni kwamba uarabuni hakuna miti walishindwa kutengeneza viti na masofa ndiyo maana wanakaa chini kwenye mikeka. Wewe mbongo umebeba dini mpaka vitu visivyokuhusu.

Hapo hatujaongelea ishu ya kuvaa kanzu na makobazi.

Me naona waafrika ndiyo tumekuwa watu wa hovyo zaidi hapa Duniani kwa kuiga dini na utamaduni wa watu wa mashariki ya kati pasi na kujua vitu vingine sisi havituhusu. Yaani tumebeba Kila kitu.

Leo korosho ya mtwara tunaidharau Huku tunaithamini tende ya uarabuni,Nina uhakika uarabuni kungekuwa Njombe/Iringa,Leo parachichi tungeliona kama tunda takatifu!!

Africa.
Hujitambui
 
Ogopa mtu kuongeza kwa dhana ,Ogopa mjinga kujifanya mjuaji ,Ogopa mtu kufanya ku Kugeneralize mambo kutokana na uono wake binafsi na sio uhalisia wa Jambo .

Waislamu sio Wagalatia mtu kujiamulia kila kitu chakipo kwenye kitabu ..

1. Hiyo ya kukata masofa umeitoa wapi mbona ngeni katika Uislamu una dalili ? haipo kwa waislamuwala katika kitabu

2.Kaburi kumwagia maji umetoka wapi ?

3.Kuvaa kiremba kosa mbona Waislamu wengi Tu hawavai na sio lazima ? ni dalili mbaya mtu kuwa na husuda mpaka katika mavazi ya mwenzako .

4. Namba unaushahidi nalo wakati namna ya kuswali ipo kwenye kitabu ,kisujudu ,kurukuu nk ? na suala la kutokuwa na viti wala mikeka unaushidi nalo na vipi nikukupa ushahidi wa kuwepo kwake enzi hizo ?
 
Uislam umeanza jana tu,hizo tamaduni za mavaz na kufuga ndevu zilikuwepo tangu enzi za wayahudi
 
Kanzu ni vazi la maeneo ya joto jangwani ambako nchi nyingi za kiarabu zipo ni.vazi kinaruhusu upepo kuingia na joto kuwa dogs

Sasa mtu unakuta katinga kanzu eneo lina baridi ajabu mpaka unamhurumia kuwa huyu kweli kichwani hazimo
Sasa ulivyo mjinga jangwani hujui usiku ni baridi hasa.Kwa hiyo usiku wanavaa nini?
Kama mchana wanavaa kanzu kwa sababu ya joto?
 
Kanzu sio vazi la kiislam ni vazi la kiarabu
Uchi wa mwanaume ni kuanzia magotini mpk kitovuni...!!!baada ya hapo hauko uchi
Uchi wa mwanamke ni kila eneo isipokua uso na vitanga vya mkono,vazi lisiwe jepesi na lenye kuonesha maungo mengine na liswe na rangi za kuvutia

Muislam wa kume akivaa hvyo anafanya ibada,(angalia watu wanaoenda hijja)ndo mavazi ya kiislam yanapaswa kia vile brooo
Mavazi ya hijja mlikopi kwa wahindu ambao walikuwepo kabla ya mwamedi
 
Vipo vingi tu.

Mfano,

1.kwa sababu ya hali ya jangwa eneo la mashariki ha kati,ilipelekea ibada kufanyika pasi na kukaa kwenye viti maana miti hakuna,Leo muislamu wa Iringa kwenye mbao na miti ya kutosha nae anaga desturi ya waarabuna Wayahudi ya kuswali na kukaa chini kwenye mkeka,wakati miti ya kutengeneza viti ipo kibao.

2. Muislamu wa tandahimba kujifanya anashindwa ndani ya msikiti badala akafanye kazi,eti kukaa msikitini kutwa kucha ni thawabu. Wenzao Arabuni kwa sababu ya joto kuwa Kali(jangwa) wakajikuta wanapojenga misikiti na masinagogi wanashinda humo ndani kupoza joto. Huku kwetu utamaduni wa kiislamu na ni thawabu!!

3. Mtu akizikwa kaburi kumwagiwa maji.

Nchi za kiarabu na mashariki ya kati kwa sababu ya kuwa jangwa,mtu akizikwa ilikuwa lazima kaburi lomwagiwe maji na kuweka jiwe (Shahid) ili tuta liendelee kuwepo maana usipofanya hivyo baada ya masaa kadhaa upepo unakuja na kufuta kabisa hilo eneo kiasi kwamba mtu usijue kama hapa palikuwa na kaburi. Sisi wamakonde wa kidongo chekundu kule Newala tumeiga eti mtu akizikwa tunamwagia maji kaburi,maji ya baraka sijui mnaita.

3. Tende zinaota na kumea kwenye hali ya jangwa na ni vhakula Chao kikubwa sana( kama utamaduni) ila sisi wa mwananyamala yunafanya kama chakula cha kutoka kwa Mungu( tunakipa thamani kuliko korosho na mabibo ya kule mtwara) . Subiri wiki ijayo mfungo uanze uone zinavyopanda thamani na kuenziwa.

4. Eti muislamu wa makete nae anavaa kiremba kikubwa kichwani kisa utamaduni wa kiislamu,wakati enzi hizo ilikuwa unavaa kiremba kwa ajili ya kujikinga na jua Kali la utosi na joto Kali.

5. Ukiingia kwa muislamu kindakindaki,ndani kwake hakuna masofa Wala viti. Kisa? Uislamu sijui bla bla..

Hoja ni kwamba uarabuni hakuna miti walishindwa kutengeneza viti na masofa ndiyo maana wanakaa chini kwenye mikeka. Wewe mbongo umebeba dini mpaka vitu visivyokuhusu.

Hapo hatujaongelea ishu ya kuvaa kanzu na makobazi.

Me naona waafrika ndiyo tumekuwa watu wa hovyo zaidi hapa Duniani kwa kuiga dini na utamaduni wa watu wa mashariki ya kati pasi na kujua vitu vingine sisi havituhusu. Yaani tumebeba Kila kitu.

Leo korosho ya mtwara tunaidharau Huku tunaithamini tende ya uarabuni,Nina uhakika uarabuni kungekuwa Njombe/Iringa,Leo parachichi tungeliona kama tunda takatifu!!

Africa.
Haha..
Ongezea kovu kwa paji la uso.
Mwarabu swala 5 ni mweupe lakini hana alama yoyote usoni, ila Mmatumbi mweusi tiii ana bonge la kovu kwenye paji la uso anaita Sigida !!
 
Shida ni umejaa ujinga kwa kukariri maandiko...

Kwa hiyo hata kipindi cha uncivilization au primitiveness waafrika nao hawakunyoa nywele kwa sababu ya hayo maandiko?... Culture ya kutonyoa ilikuwa kwenye jamii nyingi, kwa sababu kubaki na nywele ilionekana ni jambo asilia (Natural). Na watu hawakuwa na ufahamu wa unyoaji nywele wa mara kwa mara mpaka civilization ilipokuja ndipo watu wakastarabika... Ndipo utanashati na unyoaji nywele ukaanza sehemu mbalimbali mpaka sasa
Niongezee hapo na mimi,kipindi hicho hata nywele za sehemu za siri watu walikuwa hawanyoi ,sababu it was the way of life kwa kipindi hicho na hakuna mtu aliye muona mwezake mchafu ila kwa sasa mfumo wa maisha wa ni wa kustarabika ni lazima uishi kama dunia inavyoenda hivyo kunyoa nywele za sehemu za siri na makwapani ni usafi sababu that's how we the way people live.
 
Back in history, many years ago... Kulikuwa hakuna teknolojia, hivyo wengi walikuwa hawanyoi ndevu... Muislamu kusema kufuga ndevu ni culture ya uislamu, sio kweli... Maana nimekuta Sheikh anasema, watu wote kwenye biblia ni waislamu, mpaka yesu... Na ndio maana hata kwenye Movie za Yesu wanafuga ndevu na wanavaa kanzu kudhiriisha culture ya uislamu.

Mimi binafsi nakataa, kwa sababu miaka hile ndevu zilifugwa kwa sababu kulikuwa hakuna teknolojia za vifaa vya kunyoa kama sasa, yani umaridadi wa sasa wa kunyoa kwa mitindo mbalimbali ulikuwa haupo, watu walikuwa wananyoa kwa kukata tu hili ziwe fupi. Hivyo watu walifuga nywele na ndevu sana kwa sababu option zilikuwa kufuga au kunyoa, ndio maana uwezi kukuta hata kwenye movie au picha za yesu mtu kanyoa panki, wote wamefuga ndevu na nywele ndefu. Na kwa sababu za miaka hile kazi kuu zilikuwa za kuchafuka, kuwinda, kuvua, na kazi ngumu ngumu za porini, watu hawakuona haja ya kunyoa, kwa sababu hakukuwa na civilization kama ya sasa.

Ukija kwenye vazi, walikuwa wanavaa magauni kwa sababu zama za kale kulikuwa hakuna ubunifu wa mavazi, na asilimia kubwa walivaa magauni ya mtindo wa kanzu. Hizi design za suruali na kaptula zimekuja hivi karibuni. Ukitizama hata huko Roma na Ulaya walikuwa wanavaa magauni

Kwa maana hiyo hii karne ni ngumu kuendelea kufuga ndevu kama zamani au kuvaa magauni kwa sababu ni karne tofauti na karne hii mitindo ya mavazi ni mingi.

Kusema tu eti kwa nini mitume na manabii walivaa kanzu ni kwamba kulikuwa hakuna mtindo wa mavazi, na kwa sababu ya uislamu.

Na ndevu zilifugwa kwa sababu kulikuwa hakuna mtindo au saloon za kunyoa kama sasa na si kwa sababu ya Uislamu

Uislam ni dini ya uncivilized,savage peoples,hata mwaka wapo mwaka 1445 wachukulie jinsi walivyo na kuwahurumia tu,mental hawapo katika ulimwengu wa 2024.
 
Back
Top Bottom