MITUME/MANABII wetu wa Afrika watauwawa hadi lini tukiangalia tu? By Bob Marley

MITUME/MANABII wetu wa Afrika watauwawa hadi lini tukiangalia tu? By Bob Marley

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
"How long shall they kill our prophets while we stand side and look" By Bob Marley

-Biko
-Nkuruma
-Sankara
-Samora
-Nk

WAKE UP AFRIKA WAKE UP BLACK PEOPLE THIS IS YOUR TURN!!
 
FB_IMG_1743524008654.jpg
 
We wa wapi unazungumzia vitu vilivyopita, hio Dunia ilishapita.
Haisaidii kitu
 
Kutwa kuzungumzia history na maumivu yaliyo pita inakusaidia nini kwenye maisha
 
Kutwa kuzungumzia history na maumivu yaliyo pita inakusaidia nini kwenye maisha

Sasa wewe inakusaidia nini kutwa kuzungumzia maumivu ya mapenzi?
Huu ujinga ulionao ndiyo chanzo cha umasikini na ujuha kwenu wafia dini kwa uvivu mlionao wa kufikiri na kupambania ustawi wa Afrika kwaajili ya Waafrika wote kiasi cha kuwapinga na kuwakosoa Waafrika wenzenu kwa kila jambo hata lilolojema.

Unafiki wenu umepelekea manabii/mitume wa Afrika kupotea na fikira zao kufa ikiwemo Afrika Inite,Pan Africanism,Black People Movement,nk.
Unaona ni sawa kuhubiriwa ujinga wa kibiblia/quruan kila saa na kuahidiwa yasiyowezekana kuliko kupambania UKOMBOZI KAMILI WA MWAFRIKA kwa faida ya kizazi chako.

BIG SHIT HOLE!!
 
We wa wapi unazungumzia vitu vilivyopita, hio Dunia ilishapita.
Haisaidii kitu

Mtumwa kama wewe huwezi ukajua uendako pasipo kujua utokako,kila jambo lazima liwe na msingi wake wa kihistoria sasa nakushangaa wewe marehemu usiyetaka historia ya Mwafrika iwekwe wazi halafu unakumbatia hadithi za kihistoria za kusadikika zilizo kwenye biblia/quruan.

Je,biblia na quruan siyo histori?
 
Hata hao unaowalaumu sijui walitutesa utumwani sijui takataka gani hawapo duniani, hivi vitukuu vyao havina hata habari hio zaidi ya hadithi za kusadikika tu.
Watu wanasonga mbele we we Bado unawaza eti baba yangu hakunisomesha thus me masikini huku umezungukwa na mto na ardhi yenye rutuba, shida ni mzazi au wewe
 
Back
Top Bottom